Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi chipukizi kutoka Zanzibar aja na ‘Paka wa Binti Hatibu’

Na Ali Othman Ali.
Mwandishi anayechipukia kwa kasi katika tasnia ya fasihi ya Kiswahili ambaye pia ni Mhadhiri wa Kiswahili katika Chuo Kikuu Cha London, SOAS na Cambridge nchini Uingereza, Bwana Yussuf Shoka Hamad, hivi karibuni anatarajia kutoa kitabu chake kipya na cha kwanza kuchapishwa kinachoitwa; ‘Paka wa Binti Hatibu na Hadithi Nyingine’.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii kwa simu kutoka nyumbani kwake jijini London, Bwana Yussuf alisema; ‘ Msomi kama binadamu hufa,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

PROFESA SAID AHMED MUHAMMED APOKEA NAKALA YA ‘PAKA WA BINTI HATIBU’

- Naye akabidhi nakala ya kitabu chake kipya kiitwacho; ‘KAMWE SI MBALI TENA’ Profesa Said Ahmed Muhammed (aliyevaa miwani) akimpa nasaha mwandishi wa ‘Paka wa Binti Hatibu’ Bwana Yussuf Shoka Hamad. Profesa Said Ahmed Muhammed akipokea nakala ya ‘Paka wa Binti Hatibu’ kutoka kwa mwandishi wa kitabu hicho Bwana Yussuf Shoka Hamad.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Abdillatif Abdalla amtemeblea ‘Paka wa Binti Hatibu’ jijini London

Na: A. Othman
Mshairi nguli na mwalimu mzoefu wa Kiswahili ambaye pia ni mwanasiasa mkongwe kutoka nchini Kenya, Bwana Abdilatif Abdalla amemtembelea mwandishi chipukizi kutoka Zanzibar, Bwana Yussuf Shoka ofisini kwake jijini London mapema wiki hii. Katika ziara yake hiyo fupi Bwana Abdalla alifanya mazungumzo mafupi na mwandishi huyo kuhusu kitabu chake kipya cha ‘Paka wa Binti Hatibu’.
Gwiji huyo ambaye ametumia muda mwingi kufundisha Kiswahili nchini Uingereza na Leipzig, Ujerumani...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tuzo ya Kumla Dumor 2020: Inamtafuta mwandishi chipukizi kutoka Afrika

BBC inamsaka mwandishi nyota wa Afrika kwa tuzo ya BBC ya Komla Dumor 2020.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwandishi Uingereza aja kuona vita dhidi ya ujangili

Serikali imeanza juhudi za kujinasua kwenye lawama kwamba haifanyi juhudi za kutosha kupambana na ujangili kwa kuwaalika waandishi wa habari wa kimataifa ili kujionea kazi inayofanyika.

 

9 years ago

Mtanzania

Chipukizi Ronki kutoka kimapenzi

NA SHARIFA MMASI

CHIPUKIZI kwenye muziki wa Bongo Fleva, Ramadhan Jafar ‘Ronki’, yupo mbioni kutoka na wimbo wake wa kwanza wa kimapenzi alioupa jina ‘Mapenzi Siri’.

“Nimeingia kwenye familia ya muziki wa bongo fleva nikiwa nafahamu ushindani wa hali ya juu uliopo kwenye muziki wa sasa, lakini kipaji changu ndicho kinachonipa jeuri ya kuja kufanya vizuri siku zijazo,’’ alisema chipukizi huyo.

“Tayari nimeachia wimbo wa kwanza tangu nijikite kwenye muziki na ninamshukuru Mungu unaendelea...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwandishi wa Habari Zanzibar, Ali Saleh Achukua Fomu leo kugombea Ubunge Mji Mkongwe Zanzibar

Mwandishi mkongwe wa habari Zanzibar, Ali Saleh (Alberto) akiwa na wapambe wake waliomshindikiza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mji Mkongwe katika uchaguzi wa mwaka huu 2015 Mwandishi mkongwe wa habari, Ally Saleh akionesha Fomu yake aliyokabidhiwa leo kwenye Ofisi ya Jimbo MkunaziniAkionesha kadi yake ya uanachama wa CUFHapa akiondoka Afisi za Jimbo baada ya kuchukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mkunazini katika Uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu kama atapitishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

MAXIMO AJA NA KIFAA KINGINE CHA YANGA KUTOKA BRAZIL

 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia mashabiki wake timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.  Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.  Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque (katikati) mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere. Kushoto ni Andrey Coutinho
 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani