KAMPENI YA BINTI THAMANI KUFANYIKA NOVEMBA 17 KATIKAUKUMBI WA KING SOLOMONI JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-n14J74ZDlkk/VjiYo2YH_UI/AAAAAAAIECA/2iN7cIKYUY0/s72-c/IMG_3231.jpg)
Mratibu wa Kampeni ya BINTI THAMANI wa Taasisi ya Don Bosco Net Tanzania, Agnes Mgongo akizunumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO kuhusiana kampeni ya BINTI THAMANI itakayofanyika katika ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es Salaam na kampeni hiyo itakuwa inawalenga hasa wasichana ili kufikia malengo yao kwa kutumia fursa zinazotolewa na vyuo vya Don Bosco hapa nchini.
Mkurugenzi wa malezi ya vijana wa Taasisi ya Don Bosco Net Tanzania, Padre, Dustan Haule...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
BONGO STAR SEARCH 2015: Kufanyika Oktoba 9 ndani ya King Solomoni Hall jijini Dar es Salaam
![2 (2)](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/10/2-2.jpg)
9 years ago
GPLKAMPENI YA BINTI THAMANI KURINDIMA DAR
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Modewjiblog live:Fainali za Bongo Star Search 2015 ndani ya King Solomoni Hall Dar!
Eneo la jukwaa litakalowasha moto kwa washiriki sita walioingua fainali za Bongo Star Search (BSS 2015) hii ni muda huu mtandao wako wa www.modewjiblog.com tukiwa moja kwa moja tukikuletea matukjio yote ‘LIVE’. (Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).
Rommy Jones akifanya mahojiano na watu mbalimbali wanaendelea kuingia ndani ya ukumbi wa King Solomon kunakofanyika fainali za BSS 2015 kwa washiriki sita waliobakia ambao mmoja wapo anaibuka na kitita kinono…
Wadada warembo wa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jw5zqGnfHdoS3EEE6INmDbZFk3kBxYMU5jHGalLRWMAve8jXjsbOU23Coo2oQQX0dYrJ21vf12VOkiHWmDLt1RYLYxuOEUfw/12145567_1002042066485621_1118332033_n.jpg)
9 years ago
GPLDON BOSCO YAJA NA KAMPENI YA BINTI THAMANI
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FpvwgH1XPsI/VjLseVEgaUI/AAAAAAAIDcA/xEz0_oXoXL0/s72-c/20151029_180128.jpg)
WASICHANA WAPEWA KIPAUMBELE NA TAASISI YA DON BOSCO NET KWA KAMPENI "BINTI THAMANI"
![](http://4.bp.blogspot.com/-FpvwgH1XPsI/VjLseVEgaUI/AAAAAAAIDcA/xEz0_oXoXL0/s640/20151029_180128.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jkNsE941FvE/VjLsevod1VI/AAAAAAAIDcE/YGUIWyIq0vU/s640/20151029_182223.jpg)
TAASISI ya Don Bosco Net yahamasisha wasichana katika kujiendeleza kimapato na...
10 years ago
Michuzi28 Sep
TAMASHA LA UPENDO WA MAMA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA TAREHE 2 NOVEMBA 2014
![SAM_0646](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/e3dJmXhQjId3suQ-VncEKuBoqKGItya038ImIBr44wcMwW_iZSpWMUoQVhAuYQGeEdaNeLux2-XcOEP6lgKJXv4ZouxWL-0qs1N6l2HErIvRmcQ=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/09/sam_0646.jpg)
![SAM_0669](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/jCOhgEN4EY_XZG2OID_g6zWjwDfUir9oIPeLCF55FDSghIZXnhuHHFo9HElqr-Rje3gBqrAN19lFtedPJSzQ_mFvaXIr4vNP4hm8yUPfEIQJBw=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/09/sam_0669.jpg)
10 years ago
Vijimambo05 Dec
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FPx4KkWZm7E/XphHaSF-7GI/AAAAAAALnK0/_BeSHkqlvRkAZPNMIm-7htG81m6yXuL5gCLcBGAsYHQ/s72-c/66cdf9a8-ceca-4c57-b1a0-0dc65a88f770.jpg)
WALIOMSHAMBULIA BINTI MWENYE UMRI WA MIAKA 12 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR
WANAWAKE watatu akiwemo mama mlezi wa binti mwenye umri wa miaka 12, Scholastica Charles (34) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kumfanyia ukatili binti yake (jina limehifadhiwa) na kumsababishia maumivu makali.
Mbali na Scholastica, washtakiwa wengine ni Salma Hamisi (25) na Happy Joshua (44), ambapo wote ni wafanyabiashara wanaoishi Kitunda jijini Dar es Salaam.
Akisoma hati ya mashtaka leo, Wakili wa Serikali...