Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPENI YA BINTI THAMANI KURINDIMA DAR

Walioko mbele kutoka kushoto ni, Meneja Mipango wa Don Bosco, Rosemary Tery, Mkuu wa Chuo cha Don Bosco Mkoa wa Dar es Salaam, Jose Kaiphan na Mratibu, Agnes Mgongo. Baadhi ya wasichana watakaoshiriki kampeni hiyo wakiwa kwenye mkutano huo na wanahabari.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KAMPENI YA BINTI THAMANI KUFANYIKA NOVEMBA 17 KATIKAUKUMBI WA KING SOLOMONI JIJINI DAR

Mratibu wa Kampeni ya BINTI THAMANI wa Taasisi ya Don Bosco Net Tanzania, Agnes Mgongo akizunumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO kuhusiana kampeni ya BINTI THAMANI itakayofanyika katika ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es Salaam na kampeni hiyo itakuwa inawalenga hasa wasichana ili kufikia malengo yao kwa kutumia fursa zinazotolewa na vyuo vya Don Bosco hapa nchini.Mkurugenzi wa malezi ya vijana wa Taasisi ya Don Bosco Net Tanzania, Padre, Dustan Haule...

 

9 years ago

GPL

DON BOSCO YAJA NA KAMPENI YA BINTI THAMANI

Kutoka kulia ni, Emanuel Mathias 'MC Pilipili', Mkurugenzi wa Vijana Don Bosco, Padri Dunstan Haule na Mkurugenzi wa Trumark ambao ndio waratibu wa kampeni hiyo, Agnes Mgongo. Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Elias Barnaba (kushoto) akizungumzia namna alivyojipanga kutoa…

 

9 years ago

Michuzi

WASICHANA WAPEWA KIPAUMBELE NA TAASISI YA DON BOSCO NET KWA KAMPENI "BINTI THAMANI"

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Don Bosco Net, Celestine Kharkongor akizungumza na mwandishi wetu katika kituo cha Don Bosco Ostabay jijini Dar es Salaam kuhusiana na wasichana kutokubweteka na kukaa nyumbani kulea familia bila kuwa na mafanikio au ujuzi wao wenyewe kwaajili ya kujikwamua kiuchumi.Afisa Mipango wa Taasisi ya Don Bosco Net, Rosemary Njoki akizungumza  leo katika kituo cha Ostabay jijini Dar es Salaam.
TAASISI ya Don Bosco Net yahamasisha wasichana katika kujiendeleza kimapato na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mo Kids Talent kurindima Dar

TAMASHA la kusaka, kukuza na kuchochea vipaji vilivyojifisha vya watoto na vijana Tanzania lijulikanalo kama ‘Mo Kids Got Talent’ linatarajiwa kufanyika Hoteli ya Bahari Beach Ledger Plaza jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

michuano ya Airtel Rising Stars Yaendelea kurindima uwanja wa karume jijini dar

 Nahodha wa Timu ya Ilala, Maisala Adam (kulia) akimiliki mpira asinyang'anywe na mshabuliaji wa Kinondoni, Ibrahimu Chuli wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume jijini Dar es Salaam jana. Timu ya Ilala ilishinda 1-0.  Mchezaji wa Timu ya Ilala, Hussein Rashid (kulia) akipimana ubavu na Beki wa Timu ya Kinondoni, Miraji Kwangaya wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume jijini Dar es Salaam jana. Timu ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) kurindima Sept 10 hadi 13 ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar

DSC_0307

Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) yanayotarajiwa kuanza Sept 10 hadi 13 mwaka huu katika ukumbi Diamond Jubilee.

DSC_0283

Mkurugenzi wa huduma za wanachama wa TPSF, Louis Accaro (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba wakati wa uzinduzi...

 

5 years ago

Michuzi

WALIOMSHAMBULIA BINTI MWENYE UMRI WA MIAKA 12 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV

WANAWAKE watatu akiwemo mama mlezi wa binti mwenye umri wa  miaka 12, Scholastica Charles (34) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kumfanyia ukatili binti yake (jina limehifadhiwa) na kumsababishia maumivu makali.

Mbali na Scholastica, washtakiwa  wengine ni Salma Hamisi (25) na Happy Joshua (44), ambapo wote  ni wafanyabiashara wanaoishi Kitunda jijini Dar es Salaam.

Akisoma hati ya mashtaka leo,  Wakili wa Serikali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani