Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBONGO AUAWA KWA SUMU UJERUMANI

Marehemu Robert John Mpwata (34) enzi za uhai wake. Na Makongoro Oging’, Issa Mnally/Uwazi MTU mmoja anayeaminika kuwa ni Mtanzania, Robert John Mpwata (34) anadaiwa kuuawa kwa kuwekewa sumu na mwili wake kukutwa chumbani kwake katika Mji wa Shorten nchini Ujerumani siku chache zilizopita. Habari kutoka kwa baadhi ya marafiki zake waliopo huko, zinasema Robert aliyekuwa mwanamichezo aliyecheza sarakasi, karate na judo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBONGO AUAWA KWA SUMU UJERUMANI, MZAZI AOMBA MSAADA WA NAULI KWENDA KUMZIKA MWANAE


Marehemu Robert John Mpwata (34) enzi za uhai wake.
Na Makongoro Oging’, Issa Mnally/Uwazi
MTU mmoja anayeaminika kuwa ni Mtanzania, Robert John Mpwata (34) anadaiwa kuuawa kwa kuwekewa sumu na mwili wake kukutwa chumbani kwake katika Mji wa Shorten nchini Ujerumani siku chache zilizopita.

Habari kutoka kwa baadhi ya marafiki zake waliopo huko, zinasema Robert aliyekuwa mwanamichezo aliyecheza sarakasi, karate na judo, aliwasiliana nao kwa njia ya simu mara kwa mara na walipata taarifa za kifo...

 

10 years ago

GPL

BINTI WA PROFESA AUAWA KWA SUMU

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
WAKATI Wakristo kote nchini wakijiandaa kusherehekea Sikukuu ya Krismasi, keshokutwa Alhamisi, baadhi ya familia zipo kwenye majonzi mazito kufuatia kuondokewa na ndugu zao, Uwazi lina kisa cha kuumiza. Marehemu Neema Malimbwi enzi za uhai wake. Jijini Dar es Salaam, binti mbichi aliyejulikana kwa jina la Neema Malimbwi (pichani) ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo cha Kodi Tanzania...

 

10 years ago

GPL

MBONGO AUAWA MAREKANI

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
MAMIA ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro wakiongozwa na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude wamejitokeza kumzika marehemu Method Clecence Mengi aliyeuawa kwa kuchomwa visu na watu wasiofahamika nchini Marekani. Mama akimuaga marehemu mwanaye, Method Clecence Mengi. Mengi alikumbwa na ukatili huo wa kuchomwa visu vitatu, tumboni viwili na kwenye paji la uso...

 

10 years ago

Habarileo

Mume ajiua kwa sumu ukweni

MFANYABIASHARA wa mjini Tarime mkoani Mara, Wilson Weso maarufu Kishimba (34) amekufa kwa kile alichodaiwa amekunywa sumu nyumbani kwa baba mkwe wake.

 

10 years ago

Vijimambo

Simba saba wauawa kwa sumu

Serengeti. Simba saba wamekutwa wamekufa Hifadhi ya Jamii ya Ikona (WMA) wilayani Serengeti, mkoani Mara baada ya mfugaji mmoja wa Kijiji cha Park Nyigoti kudaiwa kuwatega kwa sumu, kufuatia ng’ombe wake mmoja kukamatwa malishoni ndani ya hifadhi hiyo.Tukio hilo lilibainika juzi ndani ya hifadhi hiyo Kijiji cha Park Nyigoti, baada ya mfugaji huyo Manyeresa Nguhecha akiongozana na askari wa Pori la Akiba la Ikorongo na walinzi wa Kampuni ya Grumeti Reserves na kukuta mizoga hiyo wakati...

 

10 years ago

Mwananchi

Binti nusura ajiue kwa sumu

Polisi mkoani Tanga, inamshikilia mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Old Tanga (16), (jina linahifadhiwa) kwa tuhuma za kutaka kujiua kwa sumu baada ya jaribio la baba yake mdogo kumbaka kushindikana.

 

9 years ago

Habarileo

Mama aua mwanawe kwa sumu

MKAZI wa Chuo, tarafa ya Shimbi Kwandele wilayani Rombo, Kilimanjaro, Fidensia Salvatory (27) anashikiliwa na Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua kwa kumnywesha sumu mwanawe wa miezi sita kwa madai ya kukerwa na wakwe zake.

 

11 years ago

Habarileo

Hausigeli afa kwa kunywa sumu

MFANYAKAZI wa ndani aliyetambuliwa kwa jina la Debora Makenda (18), amekufa baada ya kunywa sumu, ambayo ni dawa ya kuoshea mifugo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nidhamu mbaya mkopo ni sumu kwa wakopaji

LICHA ya  mkopo kuwa msaada mkubwa kwa wananchi, wakiwemo wafanyabiashara lakini hugeuka shubiri kwa baadhi ya wakopaji ambao wamekuwa hawana nidhamu ya mkopo. Ukweli ni kwamba hata kwenye maeneo tunamoishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani