Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nidhamu mbaya mkopo ni sumu kwa wakopaji

LICHA ya  mkopo kuwa msaada mkubwa kwa wananchi, wakiwemo wafanyabiashara lakini hugeuka shubiri kwa baadhi ya wakopaji ambao wamekuwa hawana nidhamu ya mkopo. Ukweli ni kwamba hata kwenye maeneo tunamoishi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ushirikina, nidhamu mbaya uwanjani ndiyo soka letu

Kweli inashangaza sana kusikia miaka hii bado kuna baadhi ya timu zinaendekeza mambo ya ushirikina katika kutafuta matokeo bora kwenye mashindano. Inasikitisha kwa sababu, wakati wenzetu wanasonga mbele kisayansi, sisi bado tunaendelea kujiweka kwenye mazingira ya ushirikina.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mabenki Tanzania yaelekezwa kutoa ahueni kwa wakopaji wao

Benki Kuu ya Tanzania imetoa maelekezo kwa mabenki na makampuni ya simu juu ya namna ya kutoa unafuu wa masuala ya kifedha kwa wateja wao

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki yakubaliana na wakopaji wake

Ugiriki inasema kuwa imekubaliana na wakopaji wake mpango wa kuikwamua kutoka kwa deni lake kulingana na waziri wa fedha nchini humo Euclid Tsakalotos.

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani wakutana kwa mkopo

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wamesema halmashauri hiyo inakabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha unaosababisha vikao vyao kuendeshwa kwa mkopo na kuhatarisha miradi ya maendeleo. Walisema hali hiyo inatokana na fedha zote za ushuru kupelekwa kwanza Hazina.

 

9 years ago

BBCSwahili

UN yawafutwa kazi 5 kwa utovu wa nidhamu

Wafanyikazi 4 wa umoja wa mataifa wamefutwa kazi baada ya kutizama filamu ya ngono kwenye mtandao wa intanet wa shirika hilo

 

10 years ago

BBCSwahili

TFF yaadhibu kwa utovu wa nidhamu

Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limetoa adhabu kwa vilabu, kocha na mchezaji kwa utovu wa nidhamu .

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakamatwa kwa kukosa nidhamu Uturuki

Wanawake 2 waliomfanyia ishara mbaya ya mkono waziri mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan wakati wa maandamano ya kupinga serikali wamekamatwa na polisi

 

10 years ago

BBCSwahili

Wolves yamsajili Sagbo kwa mkopo

Klabu ya Wolves imemsajili mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast,Yannick Sagbo kwa mkopo kwa kipindi cha miezi mitatu kutoka Hull

 

9 years ago

Habarileo

Azam yatoa wanane kwa mkopo

TIMU ya Azam FC imesema inatarajia kuwapeleka wachezaji wanane kwa mkopo katika baadhi ya timu mbalimbali zinazocheza Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani