Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushirikina, nidhamu mbaya uwanjani ndiyo soka letu

Kweli inashangaza sana kusikia miaka hii bado kuna baadhi ya timu zinaendekeza mambo ya ushirikina katika kutafuta matokeo bora kwenye mashindano. Inasikitisha kwa sababu, wakati wenzetu wanasonga mbele kisayansi, sisi bado tunaendelea kujiweka kwenye mazingira ya ushirikina.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Soka ni vita akili ,nguvu,nidhamu uwanjani

Soka ni mchezo ambao huchezwa kwa kutumia mbinu nyingi kwenye uwanja ambao upo mstatili.

 

10 years ago

GPL

KIKONGWE ALIYEPIGWA MAWE KWA MADAI YA USHIRIKINA HALI MBAYA

Stephano Mango, Songea
KIKONGWE Hilda Johnfan Pili (79) aliyepigwa mawe kutokana na imani za kishirikina katika Kijiji cha Kilagano, Peramiho mkoani Ruvuma hivi karibuni, bado hali yake ni mbaya kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata. Kikongwe akiwa hoi baada ya kupigwa mawe kutokana na imani za kishirikina. Kikongwe huyo na Maurus Zenda (46) anayedaiwa kuwa ni mwanaye kiukoo, kwa pamoja walijeruhiwa vibaya baada ya kupigwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nidhamu mbaya mkopo ni sumu kwa wakopaji

LICHA ya  mkopo kuwa msaada mkubwa kwa wananchi, wakiwemo wafanyabiashara lakini hugeuka shubiri kwa baadhi ya wakopaji ambao wamekuwa hawana nidhamu ya mkopo. Ukweli ni kwamba hata kwenye maeneo tunamoishi...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kongamano kuzungumzia soka letu

TAIFA Stars imetolewa na Algeria katika kinyang’anyiro cha kutafuta nafasi ya kucheza hatua ya ma

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Mwananchi

Tuangalie kwanza msingi wa soka letu

Jopo la wataalamu 20 walioteuliwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi lilikutana kupanga mkakati wa kuonesha jinsi Tanzania inavyoweza kushiriki Fainali za Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwaka 2015 nchini Morocco.

 

10 years ago

Mwananchi

Hiki ni kipindi cha kulinyanyua soka letu

Watanzania ndiyo tuna jukumu la kuendeleza mchezo wa soka nchini, hivyo tunatakiwa kutafuta mfumo thabiti utakaosaidia kufanikisha suala hilo na kuacha mtazamo wa kuangalia timu ya Taifa tu.

 

9 years ago

Raia Mwema

Usajili wa Mapunda Azam na hatma ya soka letu

AZAM imemsajili Ivo Mapunda katika usajili wa dirisha dogo.

Abdul Mkeyenge

 

9 years ago

Raia Mwema

Mahaba ya TFF kwa Yanga na hatma ya soka letu

MAFANIKIO ya Soka la Tanzania yanategemea sana nidhamu, juhudi na moyo wa dhati wa kujitoa kwa wa

Mwandishi Wetu

 

5 years ago

BBCSwahili

Je, filamu ya 'Cats' ndiyo mbaya zaidi kuwahi kutokea?

Filamu ya Cats imepata tuzo nyingi Zaidi za filamu mbaya zaidi za mwaka huu maarufu Golden Raspberry Awards.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani