Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIKONGWE ALIYEPIGWA MAWE KWA MADAI YA USHIRIKINA HALI MBAYA

Stephano Mango, Songea
KIKONGWE Hilda Johnfan Pili (79) aliyepigwa mawe kutokana na imani za kishirikina katika Kijiji cha Kilagano, Peramiho mkoani Ruvuma hivi karibuni, bado hali yake ni mbaya kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata. Kikongwe akiwa hoi baada ya kupigwa mawe kutokana na imani za kishirikina. Kikongwe huyo na Maurus Zenda (46) anayedaiwa kuwa ni mwanaye kiukoo, kwa pamoja walijeruhiwa vibaya baada ya kupigwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ushirikina, nidhamu mbaya uwanjani ndiyo soka letu

Kweli inashangaza sana kusikia miaka hii bado kuna baadhi ya timu zinaendekeza mambo ya ushirikina katika kutafuta matokeo bora kwenye mashindano. Inasikitisha kwa sababu, wakati wenzetu wanasonga mbele kisayansi, sisi bado tunaendelea kujiweka kwenye mazingira ya ushirikina.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: WHO yaonya mataifa ya Afrika 'yajiandae kwa hali mbaya'

Tanzania imeripoti kuongezeka kwa visa viwili zaidi vya maambukizi ya virusi vya corona, huku Shirika la afya duniani likilionya bara la Afrika kujiandaa kwa hali mbaya zaidi ya virusi hivyo.

 

9 years ago

StarTV

Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure

Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure

Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.

Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Hali mbaya Magereza

Wakati idadi ya wafungwa ikizidi kuongezeka nchini, Serikali imesema katika mwaka wa fedha 2014/15 itaendelea kumlisha mfungwa mmoja kwa Sh500 kwa siku.

 

11 years ago

GPL

MASKINI JACK HALI MBAYA

Stori: Shakoor Jongo
MODO mwenye mvuto Bongo Jacqueline Patrick ‘Jack’, ambaye yuko mahabusu ya Gereza la Qincheng nchini China kwa madai ya kunaswa na madawa ya kulevya nchini humo, anazidi kuteseka, safari hii akidaiwa kukabiliwa na tatizo kubwa la kiafya. Jacqueline Patrick ‘Jack’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Jack anasumbuliwa na ugonjwa wa kukosa hamu ya kula, hali iliyomfanya apoteze uzito wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ronaldo bado hali mbaya

Cristiano Ronaldo amezua tena wasiwasi kwa mashabiki wa Ureno baada ya jana asubuhi kuonekana akitoka katika hoteli akiwa na barafu katika goti lake la kushoto huku wakijiandaa na mchezo mgumu wa kwanza dhidi ya Ujerumani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu: Ujangili nchini hali mbaya

WAKATI juhudi zikifanyika kupambana na ujangili nchini, Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema hali ni mbaya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani