Wakamatwa kwa kukosa nidhamu Uturuki
Wanawake 2 waliomfanyia ishara mbaya ya mkono waziri mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan wakati wa maandamano ya kupinga serikali wamekamatwa na polisi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSABA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA NOTI BANDIA ZA DOLA ZA KIMAREKANI WAKAMATWA
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...
11 years ago
Michuzi22 Jul
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
TFF yaadhibu kwa utovu wa nidhamu
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
UN yawafutwa kazi 5 kwa utovu wa nidhamu
9 years ago
Bongo506 Oct
Jose Mourinho ashtakiwa kwa utovu wa nidhamu na FA
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Nidhamu mbaya mkopo ni sumu kwa wakopaji
LICHA ya mkopo kuwa msaada mkubwa kwa wananchi, wakiwemo wafanyabiashara lakini hugeuka shubiri kwa baadhi ya wakopaji ambao wamekuwa hawana nidhamu ya mkopo. Ukweli ni kwamba hata kwenye maeneo tunamoishi...
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
TFF yaadhibu tisa kwa utovu wa nidhamu
10 years ago
StarTV04 May
TFF yatoa adhabu kwa watovu wa nidhamu
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limetoa adhabu kwa timu, viongozi na wachezaji kwa utovu wa nidhamu,.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 300,000 (laki tatu- wastani wa dola 180) kwa kuzingatia Kanuni ya 14(9) ya Ligi Kuu kwa kutoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo (changing room) katika mechi namba 149 dhidi ya Kagera Sugar iliyochezwa Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga
Pia Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki...
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Tume yasisitiza nidhamu kwa watumishi wa Mahakama