Jose Mourinho ashtakiwa kwa utovu wa nidhamu na FA
Chama cha soka nchini Uingereza FA kimemshtaki meneja wa Chelsea Jose Mourinho kutokana na utovu wa nidhamu baada ya matamshi yake juu ya maafisa wa soka wa FA kuhusika kwenye kichapo cha goli 3-1 dhidi ya Southampton siku ya Jumamosi. FA imedai kuwa maoni hayo yalikuwa yakijaribu kuashiria kwamba kulikua na upendeleo kwa upande fulani. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo527 Oct
Mourinho ashtakiwa tena kwa utovu wa nidhamu
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Mourinho ashtakiwa utovu wa nidhamu
11 years ago
BBCSwahili10 Apr
Utovu wa nidhamu wamponza Mourinho
10 years ago
Bongo509 Jan
Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho ashtakiwa na FA
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
TFF yaadhibu kwa utovu wa nidhamu
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
UN yawafutwa kazi 5 kwa utovu wa nidhamu
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
TFF yaadhibu tisa kwa utovu wa nidhamu
10 years ago
Dewji Blog30 Oct
Wachezaji Simba wasimamishwa kwa utovu wa nidhamu
Na Mwandishi wetu
Wakati benchi la Ufundi la klabu ya Simba likipewa mechi mbili kubadilisha matokeo ya timu hiyo, wachezaji ambao wamesimamishwa kwa tuhuma za kuhujumu timu na ukosefu wa nidhamu, wanatarajia kukutana na Kamati ya Nidhamu ya klabu hiyo kesho.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Simba, Stephen Ally, alisema kuwa katika kikao cha Kamati ya Utendaji kilichofanyika juzi, kimeafiki kwamba benchi hilo katika mechi hizo mbili timu inatakiwa ishinde na kucheza...
10 years ago
Mwananchi01 Aug
Natasha akerwa na utovu wa nidhamu kwa waigizaji wa kike