Mourinho ashtakiwa tena kwa utovu wa nidhamu
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amefunguliwa mashtaka ya utovu wa nidhamu na Shirikisho la Soka la Uingereza kwa sababu ya lugha aliyoitumia na vitendo vyake wakati wa mechi ambayo Chelsea walifungwa na West Ham United wikendi. Mourinho alifukuzwa eneo la marefa uwanjani baada ya kwenda kutaka kuzungumza na refa Jon Moss katika chumba chake wakati […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Oct
Jose Mourinho ashtakiwa kwa utovu wa nidhamu na FA
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Mourinho ashtakiwa utovu wa nidhamu
11 years ago
BBCSwahili10 Apr
Utovu wa nidhamu wamponza Mourinho
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
UN yawafutwa kazi 5 kwa utovu wa nidhamu
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
TFF yaadhibu kwa utovu wa nidhamu
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
TFF yaadhibu tisa kwa utovu wa nidhamu
10 years ago
Dewji Blog30 Oct
Wachezaji Simba wasimamishwa kwa utovu wa nidhamu
Na Mwandishi wetu
Wakati benchi la Ufundi la klabu ya Simba likipewa mechi mbili kubadilisha matokeo ya timu hiyo, wachezaji ambao wamesimamishwa kwa tuhuma za kuhujumu timu na ukosefu wa nidhamu, wanatarajia kukutana na Kamati ya Nidhamu ya klabu hiyo kesho.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Simba, Stephen Ally, alisema kuwa katika kikao cha Kamati ya Utendaji kilichofanyika juzi, kimeafiki kwamba benchi hilo katika mechi hizo mbili timu inatakiwa ishinde na kucheza...
10 years ago
Mwananchi01 Aug
Natasha akerwa na utovu wa nidhamu kwa waigizaji wa kike
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Kikwete: Ni utovu wa nidhamu kuwatukana waasisi wa Taifa