Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam yatoa wanane kwa mkopo

TIMU ya Azam FC imesema inatarajia kuwapeleka wachezaji wanane kwa mkopo katika baadhi ya timu mbalimbali zinazocheza Ligi Kuu Tanzania Bara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NBC yatoa mkopo wa mabilioni ya shilingi kwa Mohamed Enterprises

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tatu kushoto) akisaini hati za makubaliano ya mkopo wa shs bilioni 100 na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Mohamed Enterprises Ltd (METL), Mohamed Dewji kwa ajili ya kampuni dada ya METL ya Star Oils inayoshughulika na biashara ya uagizaji na usambazaji mafuta. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni baadhi ya watendaji wakuu wa NBC, METL na Star Oils. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga...

 

11 years ago

GPL

NBC YATOA MKOPO WA BILIONI MIA KWA MOHAMED ENTERPRISES

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tatu kushoto) akisaini hati za makubaliano ya mkopo wa shs bilioni 100 na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Mohamed Enterprises Ltd (METL), Mohamed Dewji kwa ajili ya kampuni dada ya METL ya Star Oils inayoshughulika na biashara ya uagizaji na usambazaji mafuta. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni baadhi ya watendaji wakuu wa NBC,...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YATOA MKOPO WA SHILINGI BIL. 3 KWA WAKULIMA WA MUHOGO HANDENI


Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi (wa pili kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Bilioni 3, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe maalumu kwa ajili ya vikundi vya wakulima na wasindikaji wa zao la muhogo wilayani Handeni, mkoani Tanga. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justin (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Wakulima wa zao hilo nchini, Mwantum Mahiza, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB yatoa mkopo wa Shilingi bilioni 3 kwa wakulima wa muhogo Handeni

 Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB – Filbert Mponzi (Pili kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Bilioni Tatu Mkuu wa Wilaya ya Handeni – Godwin Gondwe maalumu kwa ajili ya vikundi vya wakulima na wasindikaji wa zao la Muhogo Wilayani Handeni Mkoani Tanga. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) – Japhet Justin (Pili kushoto), Mwenyekiti wa Wakulima wa zao la Mihogo nchini Tanzania, Mwantum Mahiza, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya...

 

9 years ago

Michuzi

TEA YATOA MKOPO WA SH. BILIONI TATU KWA TAASISI YA ELIMU TANZANIA(TIE)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa, Sifuni Mchome  akizungumza  wakati wa makubaliano ya mkataba wa mkopo kati  ya Mamlaka ya Elimu  Tanzania  (TEA) na  Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu TEA, Joel Laurent na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TIE,Dk.Paul Mushi. Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome  akisaini makubaliano ya mkataba wa mkopo kati ya Mamlaka ya Elimu...

 

5 years ago

Michuzi

KALIUA YATOA MKOPO WA MILIONI 345 KWA VIKUNDI 57 KATIKA KUSHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

NA TIGANYA VINCENT

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kaliua imekabidhi mkopo wa shilingi milioni 345 kwa vikundi 57 ikiwa ni sehemu ya asilimia 10 ya mapato yake ya ndani katika mwaka wa fedha unaoendelea.

Taarifa hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Dkt. John Pima wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kimkoa yalifanyika jana Wilayani humo.

Alisema kati ya fedha hizo vikundi 28 vya wanawake vimepokea milioni 184, vikundi 19 vya vijana vimekopeshwa 133.5 na...

 

9 years ago

Dewji Blog

TPB yatoa zaidi ya Milioni 200 kuwawezesha wajasiriamali kiuchumi, ni mkopo nafuu

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (kushoto), akikabidhi mfano wa hundi kwa Mkurugenzi wa Shirika la Vijana Wajasiriamali na Uwezeshaji Tanzania, (TYEEO), Ayub Gerald Luhuga, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es Salaam Desemba 23, 2015. Benki hiyo imevipatia vikundi vinane vya wajasiriamali jumla ya shilingi milioni 244,500,000/- kama mpoko nafuu ikiwa ni awamu ya kwanza ya utoaji mikopo hiyo, kufuatia makubaliano...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA YATOA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 175,KULETA MAPINDUZI KATIKA ELIMU YA UFUNDI NCHINI

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari. WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema Benki ya Dunia imetoa mkopo wa  Sh. Bilioni 175 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuleta mapinduzi katika vyuo  vinne vinavyotoa elimu ya ufundi  hapa nchini.
Waziri Ndalichako ameyasema hayo leo Juni 3, 2020  jijini Dar es Salaam wakati akikabidhi magari manne kwa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)...

 

10 years ago

Habarileo

Wanane kortini kwa kumkata albino mkono

WATU wanane wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kwa kumkata mkono wa kulia, Remi Luchoma (30) mwenye ulemavu wa ngozi, kisha kutokomea na mkono huo kusikojulikana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani