Simba saba wauawa kwa sumu
Serengeti. Simba saba wamekutwa wamekufa Hifadhi ya Jamii ya Ikona (WMA) wilayani Serengeti, mkoani Mara baada ya mfugaji mmoja wa Kijiji cha Park Nyigoti kudaiwa kuwatega kwa sumu, kufuatia ng’ombe wake mmoja kukamatwa malishoni ndani ya hifadhi hiyo.Tukio hilo lilibainika juzi ndani ya hifadhi hiyo Kijiji cha Park Nyigoti, baada ya mfugaji huyo Manyeresa Nguhecha akiongozana na askari wa Pori la Akiba la Ikorongo na walinzi wa Kampuni ya Grumeti Reserves na kukuta mizoga hiyo wakati...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Watu saba wauawa kwa risasi Burundi
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Takribani watu saba wauawa kwa mashabulizi ya mabomu nchini Somalia
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Watanzania saba wauawa Zambia
MIILI ya watu saba inayosadikiwa kuwa ni raia wa Tanzania, imekutwa katika Kijiji cha Chianga kilichopo Wilaya ya Nakonde nchini Zambia. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Nakonde, zinaeleza polisi wa...
10 years ago
BBCSwahili20 Apr
Saba wauawa Puntland , Somalia
10 years ago
BBCSwahili19 Oct
Wanajeshi saba wauawa na bomu Misri
10 years ago
Habarileo10 Oct
Watu saba wauawa, nyumba 20 zateketezwa
WATU saba wameuawa na nyumba zaidi ya 20 kuchomwa moto katika vurugu zilizodaiwa kuanzishwa na wananchi katika Kijiji cha Murufiti, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, chanzo chake kikiwa imani za ushirikina. Habari zilizopatikana kutoka wilayani Kasulu na baadaye kuthibitishwa na Polisi, zinasema vurugu hizo zilitokea juzi usiku na watu waliouawa, walikuwa wakituhumiwa kujihusisha na ushirikina.
11 years ago
BBCSwahili03 May
Watoto saba wauawa kinyama Honduras
11 years ago
GPL‘MR UWAZI’ AGAWA ZAWADI SABA SABA KWA WASOMAJI
9 years ago
VijimamboDURHAM WACHANGIA JIJI LA ARUSHA KWA KUFANYA ONESHO LA SABA SABA FAIR TRADE
David Mngondo akiongea na mmoja ya wageni wahudhuriaji saba saba day.
Meza nyingi ya familia ya Kitanzania wakitangaza bidhaa zao.