Watu saba wauawa, nyumba 20 zateketezwa
WATU saba wameuawa na nyumba zaidi ya 20 kuchomwa moto katika vurugu zilizodaiwa kuanzishwa na wananchi katika Kijiji cha Murufiti, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, chanzo chake kikiwa imani za ushirikina. Habari zilizopatikana kutoka wilayani Kasulu na baadaye kuthibitishwa na Polisi, zinasema vurugu hizo zilitokea juzi usiku na watu waliouawa, walikuwa wakituhumiwa kujihusisha na ushirikina.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Watu saba wauawa kwa risasi Burundi
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Takribani watu saba wauawa kwa mashabulizi ya mabomu nchini Somalia
10 years ago
MichuziBREANKING NYUZZZ.....: ZAIDI YA WATU 35 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA MABASI ILIYOTOKEA MCHANA HUU MJINI MUSOMA ANEO MAARUFU LA SABA SABA
Watu zaidi ya 35 wamepoteza maisha papo hapo na wengine zaidi ya 86 kujeruhiwa vibaya. Kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio hivi sasa,inaelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo Basi la J4...
10 years ago
BBCSwahili20 Apr
Saba wauawa Puntland , Somalia
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Watanzania saba wauawa Zambia
MIILI ya watu saba inayosadikiwa kuwa ni raia wa Tanzania, imekutwa katika Kijiji cha Chianga kilichopo Wilaya ya Nakonde nchini Zambia. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Nakonde, zinaeleza polisi wa...
10 years ago
BBCSwahili19 Oct
Wanajeshi saba wauawa na bomu Misri
10 years ago
Vijimambo01 Nov
Simba saba wauawa kwa sumu
11 years ago
BBCSwahili03 May
Watoto saba wauawa kinyama Honduras
11 years ago
Habarileo20 Apr
Ajali zaua watu saba
WATU saba wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali za barabarani na majini wilayani Bunda Mkoa wa Mara.