Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania saba wauawa Zambia

MIILI ya watu saba inayosadikiwa kuwa ni raia wa Tanzania, imekutwa katika Kijiji cha Chianga kilichopo Wilaya ya Nakonde nchini Zambia. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Nakonde, zinaeleza polisi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA AKUTANA NA WATANZANIA WAJASIRIAMALI WAISHIO NDOLA ZAMBIA

Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mhe Balozi Grace Mujuma tarehe 2 Julai hadi 6 Julai 2014 alifanya ziara ya kikazi ya siku nne jimbo la Copperbelt mji wa Ndola. Katika ziara hiyo, Mhe Balozi aliambatana na Afisa Ubalozi Richard M. Lupembe. Sambamba na ziara hiyo, tarehe 6 Julai 2014 Mhe Balozi alikutana na kufanya mkutano na Watanzania ambao ni wajasiriamali wadogo wadogo wanaoishi Mjini Ndola Zambia.
Katika mkutano huo, Watanzania walikuwa na mengi ya kumweleza Mhe Balozi kupitia risala...

 

10 years ago

BBCSwahili

Saba wauawa Puntland , Somalia

Polisi nchini Somalia wanasema kuwa takriban watu Saba wameuawa kwenye shambulizi katika eneo linalojisimamia la Puntland.

 

10 years ago

Habarileo

Watu saba wauawa, nyumba 20 zateketezwa

WATU saba wameuawa na nyumba zaidi ya 20 kuchomwa moto katika vurugu zilizodaiwa kuanzishwa na wananchi katika Kijiji cha Murufiti, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, chanzo chake kikiwa imani za ushirikina. Habari zilizopatikana kutoka wilayani Kasulu na baadaye kuthibitishwa na Polisi, zinasema vurugu hizo zilitokea juzi usiku na watu waliouawa, walikuwa wakituhumiwa kujihusisha na ushirikina.

 

10 years ago

Vijimambo

Simba saba wauawa kwa sumu

Serengeti. Simba saba wamekutwa wamekufa Hifadhi ya Jamii ya Ikona (WMA) wilayani Serengeti, mkoani Mara baada ya mfugaji mmoja wa Kijiji cha Park Nyigoti kudaiwa kuwatega kwa sumu, kufuatia ng’ombe wake mmoja kukamatwa malishoni ndani ya hifadhi hiyo.Tukio hilo lilibainika juzi ndani ya hifadhi hiyo Kijiji cha Park Nyigoti, baada ya mfugaji huyo Manyeresa Nguhecha akiongozana na askari wa Pori la Akiba la Ikorongo na walinzi wa Kampuni ya Grumeti Reserves na kukuta mizoga hiyo wakati...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi saba wauawa na bomu Misri

Maafisa nchini Misri wanasema kuwa takriban wanajeshi saba wameuawa na wengine wanne kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka

 

11 years ago

BBCSwahili

Watoto saba wauawa kinyama Honduras

Serikali nchini Honduras inachunguza vifo vya watoto saba wanaosadikiwa kuuawa baada ya kukataa kujiunga na magenge ya uhalifu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu saba wauawa kwa risasi Burundi

Watu saba wameuawa katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kufuatia kinachodaiwa kuwa jaribio la wizi katika benki moja.

 

5 years ago

BBCSwahili

Takribani watu saba wauawa kwa mashabulizi ya mabomu nchini Somalia

Wanamgambo wa Al- shabab wamekuwa wakifanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi nchini Somalia.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania saba waula CAF

WATANZANIA saba wameula baada ya kuteuliwa kwenye kamati mbalimbali za Shirikisho la Soka Afrika, (CAF). Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Shirikisho la Soka Tanznia (TFF), uteuzi huo ulifanyika kwenye kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF kilichokutana mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Cairo, Misri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani