Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto saba wauawa kinyama Honduras

Serikali nchini Honduras inachunguza vifo vya watoto saba wanaosadikiwa kuuawa baada ya kukataa kujiunga na magenge ya uhalifu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mrembo na dadake wauawa Honduras

Wanaume 2 wamekamatwa baada ya binti mmoja mshindi wa mashindano ya urembo na dadake kupatikana wakiwa wameuawa karibu wiki moja baada ya kutoweka kwao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 7 wauawa kinyama Burundi

Watu wenye silaha wamewapiga risasi na kuwauwa watu saba usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu wa Burundi- Bujumbura

 

10 years ago

Mtanzania

Mama, watoto wachinjwa kinyama

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

Na Mwandishi Wetu, Nzega

WIMBI la mauaji ya kutisha limeendelea kutikisa nchini, baada ya watu wasiojulikana kuwaua mama na watoto wake wawili kwa kuwakatakata kwa mapanga usiku wa kuamkia juzi.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea katika Kijiji cha Nata wilayani Nzega mkoani Tabora.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Suzan Kaganda, aliwataja waliouawa kuwa ni mama Leticia Thomas, Marietha Nicolaus ambaye ni mwanafunzi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watanzania saba wauawa Zambia

MIILI ya watu saba inayosadikiwa kuwa ni raia wa Tanzania, imekutwa katika Kijiji cha Chianga kilichopo Wilaya ya Nakonde nchini Zambia. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Nakonde, zinaeleza polisi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Saba wauawa Puntland , Somalia

Polisi nchini Somalia wanasema kuwa takriban watu Saba wameuawa kwenye shambulizi katika eneo linalojisimamia la Puntland.

 

10 years ago

Habarileo

Watu saba wauawa, nyumba 20 zateketezwa

WATU saba wameuawa na nyumba zaidi ya 20 kuchomwa moto katika vurugu zilizodaiwa kuanzishwa na wananchi katika Kijiji cha Murufiti, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, chanzo chake kikiwa imani za ushirikina. Habari zilizopatikana kutoka wilayani Kasulu na baadaye kuthibitishwa na Polisi, zinasema vurugu hizo zilitokea juzi usiku na watu waliouawa, walikuwa wakituhumiwa kujihusisha na ushirikina.

 

10 years ago

Vijimambo

Simba saba wauawa kwa sumu

Serengeti. Simba saba wamekutwa wamekufa Hifadhi ya Jamii ya Ikona (WMA) wilayani Serengeti, mkoani Mara baada ya mfugaji mmoja wa Kijiji cha Park Nyigoti kudaiwa kuwatega kwa sumu, kufuatia ng’ombe wake mmoja kukamatwa malishoni ndani ya hifadhi hiyo.Tukio hilo lilibainika juzi ndani ya hifadhi hiyo Kijiji cha Park Nyigoti, baada ya mfugaji huyo Manyeresa Nguhecha akiongozana na askari wa Pori la Akiba la Ikorongo na walinzi wa Kampuni ya Grumeti Reserves na kukuta mizoga hiyo wakati...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi saba wauawa na bomu Misri

Maafisa nchini Misri wanasema kuwa takriban wanajeshi saba wameuawa na wengine wanne kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu saba wauawa kwa risasi Burundi

Watu saba wameuawa katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kufuatia kinachodaiwa kuwa jaribio la wizi katika benki moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani