Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama, watoto wachinjwa kinyama

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

Na Mwandishi Wetu, Nzega

WIMBI la mauaji ya kutisha limeendelea kutikisa nchini, baada ya watu wasiojulikana kuwaua mama na watoto wake wawili kwa kuwakatakata kwa mapanga usiku wa kuamkia juzi.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea katika Kijiji cha Nata wilayani Nzega mkoani Tabora.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Suzan Kaganda, aliwataja waliouawa kuwa ni mama Leticia Thomas, Marietha Nicolaus ambaye ni mwanafunzi wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mama, mwanawe wachinjwa

WATU wawili, Dilu Tungu (80) na mwanawe Bunya Mihangwa (45) wameuawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiofahamika baada ya kuvamia nyumba hiyo katika kijiji cha Ihugi kata ya Lyamidati wilaya ya Shinyanga kwa kile kilichoelezwa kuwa ni imani za kishirikina.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watoto saba wauawa kinyama Honduras

Serikali nchini Honduras inachunguza vifo vya watoto saba wanaosadikiwa kuuawa baada ya kukataa kujiunga na magenge ya uhalifu.

 

11 years ago

GPL

MAMA AMFANYIA MTOTO VITENDO VYA KINYAMA

Stori: Mayasa Mariwata na Gabriel  Ng’osha MATESO! Mama wa kambo ametiwa mbaroni akidaiwa kumfanyia ukatili mtoto Sada Athuman (10), mkazi wa Yombo-Kilakala jijini Dar, Risasi Jumamosi lina kisa na mkasa. Mama wa kambo wa mtoto Sada Athumani. Awali, gazeti hili lilipokea ujumbe mfupi (SMS) kutoka kwa chanzo chake kuwa watu wa Ustawi wa Jamii wakishirikiana na polisi walitinga nyumbani kwa mama huyo na kumfikisha kituo...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.

UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru Ophans Centre Mama aliyejifungua mapacha wanne na kubakia wawili baada ya kuugua Nimonia kwa ajili ya uangalizi wa karibu.  Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Hospitali hiyo kumfuata mama mwenye watoto hao Aida Nakawala(25) pamoja na mapacha wake waliobaki kutoka kijijini kwao Chiwanda Wilaya ya Momba mkoani hapa na kuwalaza hospitalini hapo kwa uangalizi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto, ‘house girl’ wa diwani wachinjwa

MTOTO wa Diwani wa Mkangano, Estoni Kimwelu (CCM), na mfanyakazi wa ndani, Sista Nyilenda (17), wameuawa na watu wasiojulikana. Tukio hilo la kinyama lililotokea juzi saa nane mchana, eneo la...

 

10 years ago

BBCSwahili

Libya watatu wachinjwa kwa maoni yao

Wanaharakati watatu nchini Libya wamechinjwa baada ya kuandika maisha chini ya utawala wa dola ya kiislam

 

11 years ago

GPL

WATOTO WAMVAA MAMA!

Stori: Shakoor Jongo
LILE sakata la ugomvi wa mali zilizoachwa na bilionea maarufu Dar, Amir Tabu aliyefariki dunia hivi karibuni, limechukua sura mpya baada ya watoto wa marehemu kumvaa mama yao wa kambo, Mwanahamis Rajabu wakisema madai yake juu ya kudhulumiwa mirathi na mashemeji zake si ya kweli.…

 

10 years ago

Habarileo

Mama atupa watoto watatu porini

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mama wa watoto watatu, mkazi wa wilayani hapa, mwanzoni mwa wiki hii aliwatekeleza porini watoto hao, akiwemo mwenye umri wa miezi mitatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mama aliyeua Watoto Marekani ahukumiwa

Mwanamke aliyekiri kuua Watoto wake sita ahukumiwa kifungo gerezani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani