Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA AMFANYIA MTOTO VITENDO VYA KINYAMA

Stori: Mayasa Mariwata na Gabriel  Ng’osha MATESO! Mama wa kambo ametiwa mbaroni akidaiwa kumfanyia ukatili mtoto Sada Athuman (10), mkazi wa Yombo-Kilakala jijini Dar, Risasi Jumamosi lina kisa na mkasa. Mama wa kambo wa mtoto Sada Athumani. Awali, gazeti hili lilipokea ujumbe mfupi (SMS) kutoka kwa chanzo chake kuwa watu wa Ustawi wa Jamii wakishirikiana na polisi walitinga nyumbani kwa mama huyo na kumfikisha kituo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa miaka 6 afanyiwa vitendo vya kinyama abakwa na kunyongwa Singida

DSC03164

Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.

Na Nathaniel Limu, Singida

MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka sita mkazi wa kitongoji cha Maweni kijiji cha Mayaha kata ya Minyughe tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida,Samaka Matawa,amefariki dunia baada ya kubakwa na kisha kunyongwa shingo.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP,Thobias Sedoyeka, alisema tukio hilo la kusikitisha na la...

 

9 years ago

Habarileo

RC ashtushwa na vitendo vya kinyama kwa wafugaji

MKUU wa Mkoa wa Kagera John Mongella ameshtushwa na madai ya kuwapo kwa vitendo vya kinyama dhidi ya wafugaji wanapoingiza mifugo yao kwa bahati mbaya katika hifadhi za Kimisi, Burigi na Kasindaga.

 

11 years ago

Michuzi

NAPE ALAANI VITENDO VYA KINYAMA VINAVYOFANYWA NA CHADEMA


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza.Nape alisema kitendo cha wana CCM kushambuliwa ni kitendo cha kinyama na kinatakiwa kikemewe na kila mtu,pia alisisitiza Vijana wa CCM kuwalinda wapigaji kura wao siku ya kupiga kura.  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa Habari kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye...

 

10 years ago

Mtanzania

Mama, watoto wachinjwa kinyama

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

Na Mwandishi Wetu, Nzega

WIMBI la mauaji ya kutisha limeendelea kutikisa nchini, baada ya watu wasiojulikana kuwaua mama na watoto wake wawili kwa kuwakatakata kwa mapanga usiku wa kuamkia juzi.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea katika Kijiji cha Nata wilayani Nzega mkoani Tabora.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Suzan Kaganda, aliwataja waliouawa kuwa ni mama Leticia Thomas, Marietha Nicolaus ambaye ni mwanafunzi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nzega yapunguza vifo vya mama, mtoto

WILAYA ya Nzega, mkoani Tabora imefanikiwa kupunguza vifo vya mama na mtoto  kutokana na  wanaume kududhuria kliniki za wenzi wao pamoja na kufuata taratibu na masharti  ya afya  ya mama...

 

11 years ago

Mwananchi

JK aahidi kukabili vifo vya mama, mtoto

Rais Jakaya Kikwete ameahidi kuendelea kuimarisha huduma za afya hasa ya mama na mtoto ili kupunguza vifo hapa nchini.

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONJO AWAPONGEZA WAUGUZI KITUO CHA AFYA SABASABA KWA KUTOKUWA NA VIFO VYA MAMA NA MTOTO



**********************

NA FARIDA SAIDY,MOROGORO

MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo , amezindua
rasmi Wodi ya Wazazi ijulikanyo kwa jina la “Wodi ya Wazazi Regina
Chonjo” katika Kituo cha Afya cha Sabasaba Manispaa ya Morogoro.

Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo,
Mhe Chonjo, amewataka Wauguzi kutumia taaluma zao kwa uwaledi ili
Wazazi wajifungue salama.

Aidha, amekipongeza kituo hicho cha afya kwani tangia ianze huduma
ya uzalishaji haijawai kutokea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani