Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama aliyeua Watoto Marekani ahukumiwa

Mwanamke aliyekiri kuua Watoto wake sita ahukumiwa kifungo gerezani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Aliyeua akidaiwa magunia ya mpunga ahukumiwa kunyongwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Sumbawanga imemhukumu Malambi Lukwaja (47) mkazi wa Kijiji cha Igalula Tarafa ya Kabungu Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi kunyongwa hadi kufa, baada ya kupatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi aliyeua mwanafunzi chuo kikuu ahukumiwa kifo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemhukumu kunyongwa hadi kufa polisi wa upelelezi, Maduhu, F 5842, aliyekuwa akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), Daniel Mwakyusa.

 

10 years ago

Vijimambo

Polisi aliyeua mwanafunzi wa Chuo Kikuu jijini Mbeya ahukumiwa kifo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemhukumu kunyongwa hadi kufa polisi wa upelelezi, Maduhu, F 5842, aliyekuwa akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), Daniel Mwakyusa. Aidha, mahakama hiyo imewaachia huru washitakiwa wengine wawili wa kesi hiyo, polisi wa upelelezi, Shaaban, F 7769, na polisi wa kike mpelelezi, Neema, F 6545, baada ya kuwakuta hawana hatia. 
Hukumu hiyo ya kesi namba 16 ya mwaka 2013, ilitolewa jana mjini hapa na Jaji Rose Temba,...

 

5 years ago

Bongo5

Marekani: Kijana aliyeua na kupost video ‘Live’ ajiua

Polisi nchini Marekani wamesema mtu ambaye alifanya mauaji kisha kutuma videi ya mauaji hayo ‘Live’ katika mtandao wa Facebook amejiua mwenyewe.

Habari zinasema Steve Stephens alijiua wakati maafisa wa polisi walipolikaribia Gari lake, walipokuwa wakimkimbiza takribani kilomita 150 kutoka Cleveland, Ohio, ambapo ndilo eneo la mauaji yaliyofanyika jumapili.

Picha za video za babu akipigwa risasi zilienea kwenye mitandao ya kijamii kwa saa mbili kabla ya kuondolewa.

Mwanzilishi wa mtandao...

 

11 years ago

BBCSwahili

Daktari aliyeiba watoto ahukumiwa China

Aliwaiba watoto saba kutoka hospitali aliyokuwa akihudumu na kuwauza watoto hao kwa wanaofanya biashara haramu ya kuuza binadamu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mama wa miaka 100 ahukumiwa jela Kenya

Mahakama moja nchini Kenya imemhukumu mama mwenye umri wa miaka 100 kifungo kwa kukaidi amri ya mahakama

 

10 years ago

Vijimambo

MTANZANIA CHARLES MIHAYO ALIYEUWA WATOTO WAKE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA

 Photo: Mihayo will serve a minimum of 31 years in prison for murdering his daughters. (AAP: Julian Smith)Photo: Indianna, 3, (left) and Savannah, 4, 
A Melbourne man who murdered his two young daughters by smothering them with a pillow has been sentenced to life in jail.

Charles Mihayo, 36, smothered his daughters Savannah, 4, and Indianna, 3, at his unit at Watsonia in April.

He pleaded guilty to the killings in August and was today sentenced in the Supreme Court to a minimum of 31 years in...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.

UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru Ophans Centre Mama aliyejifungua mapacha wanne na kubakia wawili baada ya kuugua Nimonia kwa ajili ya uangalizi wa karibu.  Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Hospitali hiyo kumfuata mama mwenye watoto hao Aida Nakawala(25) pamoja na mapacha wake waliobaki kutoka kijijini kwao Chiwanda Wilaya ya Momba mkoani hapa na kuwalaza hospitalini hapo kwa uangalizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani