Marekani: Kijana aliyeua na kupost video ‘Live’ ajiua
Polisi nchini Marekani wamesema mtu ambaye alifanya mauaji kisha kutuma videi ya mauaji hayo ‘Live’ katika mtandao wa Facebook amejiua mwenyewe.
Habari zinasema Steve Stephens alijiua wakati maafisa wa polisi walipolikaribia Gari lake, walipokuwa wakimkimbiza takribani kilomita 150 kutoka Cleveland, Ohio, ambapo ndilo eneo la mauaji yaliyofanyika jumapili.
Picha za video za babu akipigwa risasi zilienea kwenye mitandao ya kijamii kwa saa mbili kabla ya kuondolewa.
Mwanzilishi wa mtandao...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfh67JJ6GsT07r6R9fMxcYMhvz0Ch1nKiDWBtDUNVJz-t7o6OkgtHRecIpVldvuA0ECUWKEowwhie8MH5nMaybMT/vvvvvv.jpg?width=650)
HOFU YATANDA KIJANA ALIYEUA WAZAZI WAKE
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Mama aliyeua Watoto Marekani ahukumiwa
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Muuaji ajiua Marekani
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/2BAEDA9000000578-0-image-m-11_1440643472151.jpg)
MUUAJI WA WATANGAZAJI MAREKANI AJIUA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsunsgyLz-SbBYOi7yfVDFwub8VhGtNzwb*DoyVaCxklIgY4NNXEcl3tNlA3pjuLEMpgxvfWGcNQlF-pvR*BZhm-K/_76883289_76883288.jpg)
MUIGIZAJI ROBIN WILLIAMS WA MAREKANI AJIUA
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Kijana mwingine mweusi auawa Marekani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNVZlvYLyCKBewLk7wKyCXWASqAvX2NmchP0PmkdJDbGGt6*c*8ITC6zlzgSOKhmv1lpDkwUCxBGLb7Nnc1ZLl2s/141022063029_isisisilmosul__512x288_ap.jpg?width=650)
KIJANA ALIYEJIUNGA NA IS ATOA ONYO KWA MAREKANI
9 years ago
VijimamboUZINDUZI KAMPENI UBUNGE: KIJANA KUTOKA MAREKANI ATIKISA MBARALI
Msaada wa fedha unaweza pitia number yangu ya Vodacom 255 752 494409 kwa kutumia "WAVE" App. Au kwa kwenda gofundme Diaspora Bungeni 2015
SUNTRUST BANKJina: Liberatus MwangombeRouting number:...
9 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZO TANZANIA
Wakiongea kwa nyakati tofauti wananchi wa Luhanga, Utengule na Igurusi wamesema Mh. Mwang'ombe ni mkombozi wa Mbarali baada ya mateso ya CCM kwa mika mingi. Wamesema walimtuma Mh. Mwang'ombe Marekani...