Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI KAMPENI UBUNGE: KIJANA KUTOKA MAREKANI ATIKISA MBARALI

Libe anaamini kuwa huwezi kuibadili Dodoma kwa kukaa nje ya mjengo. Ni lazima uingie Dodoma ili uweze kuibadilisha na kupitisha agenda za diaspora. Hivyo basi, anawaomba diaspora wote bila kujali itikadi wala tofauti zao kumsaidia kwa hali na mali ili atimilize ndoto ya kupenyeza hoja za diaspora
Msaada wa fedha unaweza pitia number yangu ya Vodacom 255 752 494409 kwa kutumia "WAVE" App. Au kwa kwenda gofundme Diaspora Bungeni 2015
SUNTRUST BANK

Jina: Liberatus Mwangombe

Routing number:...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE

Ni Liberatus Mwang"ombe "Libe" ambaye anaonekana kuzoa umaarufu kila uchao kwa weledi wake wa kutoa hotuba zenye kuwaleta watu pamoja na kuwaita vijana katika siasa. Mh. Mwang'ombe amekuwa gumzo jimboni Mbarali kiasi kwamba amekuwa akisimamishwa na watu mbalimbali mitaani hadi wanafunzi. Leo akifanya mkutano wa kampeni Rujewa ameweza kukusanya watu wengi na kusindikizwa na msafara baada ya mkutano hadi ofisi za CHADEMA wilaya. 





Kwenye hotuba yake Mh. Mwang'ombe amesisitizia umoja, ushirikiano...

 

10 years ago

Vijimambo

MTIA NIA UBUNGE JIMBO LA MBARALI LIBERATUS MWANG'OMBE AWASILI MWALIMU NYERERE INTERNATIONA AIRPORT TAYARI KWA KUANZA SAFARI YAKE YA KUWATUMIKIA WANA MBARALI

Akiwa anatokea masomoni Marekani, mtia nia Liberatus Mwangombe kwenye jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA amewasili mchana huu kwenye kiwanja cha ndege cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam

Mwang'ombe anatarajia kuwa na mikutano na baadhi ya viongozi wa kitaifa Makao Makuu ya CHADEMA hapo kesho kabla ya kuelekea jimboni, Mbarali, siku mbili zijazo.

Akiongea na muwakilishi wa studio za SUN SHINE kutoka Chimala punde tu alipo shuka Airport ya Mwalimu Nyerere, Mwang'ombe amesema...

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA DIASPORA, USA, AENDELEA KUWA TISHIO MBIO ZA UBUNGE


 Juu na chini akiwa Ubaruku. Chini anachukua maswali baada ya mkutano
Ni Liberatus Mwang’ombe “ Libe”, au kama watu wa Mbarali wanavyo muita “Mnyamwezi” aliye wahi kukaaa DMV (DC, Maryland na Virginia) ameendelea kuwa gumzo kwenye mbio za Ubunge jimboni Mbarali.  Mwang’ombe amekuwa akivunja rekodi kwa kila mkutano anao fanya; amekuwa anakusanya watu wengi sana kuliko kipindi chochote cha ubunge jimboni Mbarali
Uwezo wa Mwang’ombe kutoa hotuba za umoja, ushirikiano na bila kuweka uchama imekuwa...

 

9 years ago

Vijimambo

INNOCENT SHIRIMA AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE KATIKA JIMBO LA VUNJO

Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ,Innocent Shirima akisalimiana na wananchi mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo.
Baadhi ya wanachama wa CCM wakishangilia katika uzinduzi wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Polisi Himo.Kada wa Chama cha Mapinduzi ,Job Lusinde akisalimiana na kada mwenzake ,Novatus Makunga ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Juma Idd akizungumza...

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZO TANZANIA

Ni Liberatus Mwang'ombe aka "Libe" au wenyewe wana wa Mbarali wanamuita "Mnyamwezi" amekua kivutio kwa vijana, wazee, wakina mama na kina dada. Mh. Mwang'ombe amekua akizoa kundi la watu kila sehemu anayo tembelea. Vipeperushi vya Mh. Mwang'ombe vimekuwa vikigombaniwa na watu kunyang'anyana. 
Wakiongea kwa nyakati tofauti wananchi wa Luhanga, Utengule na Igurusi wamesema Mh. Mwang'ombe ni mkombozi wa Mbarali baada ya mateso ya CCM kwa mika mingi. Wamesema walimtuma  Mh. Mwang'ombe Marekani...

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA: JUST PICHA: KIJANA KUTOKA DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE AENDELEA KUCHANJA MBUGA MBIO ZA UBUNGE






Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;

M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409
Au, wasiliana na: Rehema Sarmet 301 367 9711Lukresia  240 593 5973Jabil  240 604 0574 





 

9 years ago

Vijimambo

JUST IN: MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZU MBIO ZA UBUNGE

 Ni Libertus Mwang'ombe "Libe" aliye wahi kuishi DMV (Virginia, Maryland na D.C.) ameonekana kuwa na mvuto wa kipekee kwenye mbio za kuelekea Dodoma.  Mh. Mwang'ombe amekuwa akikusanya umati wa watu na kushangiliwa kwa sana. Watu wa Mbarali wameonyesha kumkubali kijana huyu ambaye hotuba zake ningi zimekuwa hazina lugha chafu, zina waita watu wa Mbarali kuwa wamoja na kupigania maslai kwa pamoja.
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze...

 

9 years ago

Vijimambo

MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUZOA UMAARUFU MBIO ZA UBUNGE

Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" ameendelea kuwa mwiba kwa wagombea wengine kwa kukusanya makundi ya aina mbalimbali, watoto, wazee, vijana na kinamama. Mh. Mwang'ombe amekua akitoa hotuba kwa uhodari wa hali ya juu na kuwafanya watu wa Mbarali kuwa na matumaini na kujisikia wapo wamoja.Moja ya kipengele chake kweye hotuba kinacho wavutia watu ni pale anapo sema "hatuunganishwi kwa itikadi zetu, vyama vyetu, jinsia zetu, dini zetu wala makabila yetu; bali tunaongunishwa kwa changamoto zinazo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani