BINTI MIAKA 14 ASUTWA KWA UTAPELI
![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3HmyEN*hGdDGxZ8VImMZdOrdLWMAVYMadMsdJfoxuAkHWN*reTbft0LRXr6LPbwldTx8GTXz2q3PI8Yq6wZXvvlAG/Lulu.jpg?width=650)
Chande Abdallah na Deogratius Mongela Binti wa miaka (14) aliyefahamika kwa jina la Latifa amejikuta akisutwa kwa utapeli baada ya kunaswa na OFM akijifanya ni mtoto asiye na wazazi wala ndugu wa kumsaidia.Binti huyo aliwasimulia waandishi wetu kuwa baba yake alimtelekeza kwa majirani huko Dodoma maeneo ya Kibaigwa kwa kile alichodai kuwa baba yake alikuwa na madeni yaliyosababisha mali zake kupigwa mnada na yeye kusakwa ndiyo...
GPL
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10