Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fifa watua kuchunguza waamuzi

Ujumbe maalumu wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) umetua nchini kwa siri kuchunguza tuhuma za upangaji matokeo unaowakabili waamuzi watatu waliosimamishwa tangu mwaka jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waamuzi 11 nchini wapata Beji za FIFA

 Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wa Habari pamoja na baadhi ya waamuzi waliopata hadhi ya kuwa waamuzi wenye beji za FIFA katika hafla fupi ya kukabidhi Beji hizo,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karume Mchikichini,Jijini Dar es salaam.Jumla ya waamuzi 11 wamepata Beji ya FIFA mwaka huu na kupelekea idadi ya waamuzi wote nchini wenye Beji hizo kufikia 18.Picha zote na Othman Michuzi. Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waamuzi Tanzania watetea beji za FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA), limewapa beji waamuzi 10 wa Tanzania kwa mwaka 2014. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Shirikisho la...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania-waamuzi 11 kwenye orodha ya FIFA

Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA limetoa orodha mpya ya waamuzi linaowatambua ,Kwenye orodha hiyo kuna jumla ya waamuzi 18 kutoka Tanzania.

 

9 years ago

Michuzi

MALINZI AFUNGA KOZI YA WAAMUZI WA FIFA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga kozi ya waamuzi chipukizi wasiokuwa na beji za FIFA katika hoteli ya Holiday, ambapo jumla ya waamuzi 30 kutoka nchi 28 barani Afrika walihudhuria.Akiongea wakati wa kufunga kozi hiyo Malinzi alitoa wito kwa wahitimu wajikite kwenye maadili kwa kuzingatia mafunzo waliyopata ili katika kipindi kifupi wote wapate beji za FIFA na waonekane kweye mashindano makubwa kama fainali za AFCON na mashindano ya Kombe la...

 

11 years ago

BBCSwahili

FIFA kuchunguza Mexico kwa ubaguzi

Mashabiki wadaiwa kuhusishwa na matamshi ya ubaguzi wakati wa mechi dhidi ya Cameroon

 

11 years ago

Mwananchi

Mwambusi alalamikia waamuzi

Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema mdudu mbaya anayefanya kiwango cha soka nchini kishindwe kukua ni waamuzi wasiokuwa wadilifu katika uchezeshaji wao hasa kwa timu ndogo zinazoibuka na kuonyesha ushindani mkubwa dhidi ya timu kubwa.

 

9 years ago

Habarileo

Waamuzi 16 kuchezesha Mapinduzi

JUMLA ya waamuzi 16 na makamishna wanne wanatarajiwa kuchezesha michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza keshokutwa mjini hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani