Mwambusi alalamikia waamuzi
Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema mdudu mbaya anayefanya kiwango cha soka nchini kishindwe kukua ni waamuzi wasiokuwa wadilifu katika uchezeshaji wao hasa kwa timu ndogo zinazoibuka na kuonyesha ushindani mkubwa dhidi ya timu kubwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXXDM9jruGHRY0wWMUvpIJCEY-mfIfRuML6NfxA-UvITAkxB8sg2x1DNNYIJnEVaOWrbY*QUkCYAxXV-7ttvM2CU/NYAMELA.jpg)
NYAMWELA ALALAMIKIA WIVU WA MKEWE
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Dk Makaidi alalamikia fitna Masasi
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Alalamikia GGM kumpora ardhi
KAMPUNI ya Geita Gold Mine (GGM) inatuhumiwa kumpora mzawa, Hosea Katampa, eneo lake lililopo Lijeti namba tatu licha ya kwenda mahakamani kulidai na kupewa kihalali. Katampa alitoa malalamiko hayo juzi...
10 years ago
GPLMREMA ALALAMIKIA WAWEKEZAJI VUNJO
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Mbunge alalamikia mfumo wa elimu nchini
NA SAFINA SARWATT, MOSHI
MBUNGE wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (Chadema), amesema Watanzania wengi ni masikini kwa kuwa mfumo wa elimu uliopo nchini ni mbovu.
Komu aliyasema hayo juzi katika Tarafa ya Kibosho Magharibi alipokuwa kwenye ziara na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga.
Wakati wa ziara hiyo, Komu alilenga kusikiliza kero za wananchi na kukutana na viongozi waliomaliza muda wao wakiwamo wenyeviti wa vijiji na madiwani.
“Watanzania wanatakiwa kujengewa misingi bora ya elimu...
10 years ago
Mtanzania23 May
Mbunge alalamikia maji yanayoharibu meno
MBUNGE wa Viti Maalumu, Rebecca Ngodo (Chadema), amelalamikia maji ya wilayani Meru kuwa yanawaharibu meno wakazi wa maeneo hayo.
Akiuliza swali bungeni jana, Ngodo alisema wananchi wa wilaya hiyo wanapata athari za afya ikiwemo kuwa na meno yenye rangi ya kahawia na miguu yenye matege kutokana na maji kuwa na madini ya fluoride iliyozidi.
“Ni wajibu wa Serikali kuhakikisha watu wake wanapata maji safi na salama kutokana na kodi wanazolipa, Serikali inafanya nini kukabiliana na ongezeko la...
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Ndugai alalamikia mauaji ya wakulima Kiteto
THEODOS MGOMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-0mjNH0t3Cd8/VGS9hxaiQPI/AAAAAAAABu0/oZY17IvlDXw/s1600/ndugai.jpg)
Akitumia kanuni ya 68(7), Moza alisema kumekuwa kukitokea mauaji ya kutisha ya wakulima katika wilaya ya Kiteto.
Moza alisema katika kipindi cha...
10 years ago
Michuzi12 Nov
MDAU ALALAMIKIA KUCHELEWESHWA UTOLEWAJI WA VYETI VETA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-H_JeblneW-I/VGMmgcgd6KI/AAAAAAAGwpM/yf_wx2DAtRg/s1600/download.jpg)
Lalamiko langu kubwa ni kuhusu VETA kumekuwa na tatizo la ucheleweshaji wa vyeti pindi wahitimu wanapomaliza course zao siju ni kwanini?
Tukiangaliwa vyuo vingi vinavyomilikiwa na serikali wanafunzi wanapomaliza shule yao na matokeo yao yakatoka uwa wanapewa result
slip inayoonyesha kuwa huyu mtu amemaliza course fulani na ameshinda wakati anasubili cheti chake na cheti hakichelewi sana kutoka kama ilivyo kwa VETA kitu ambacho ni tofauti na VETA.
Mwanafunzi anapomaliza course yake na...