Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge alalamikia mfumo wa elimu nchini

chadema_financeNA SAFINA SARWATT, MOSHI

MBUNGE wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (Chadema), amesema Watanzania wengi ni masikini kwa kuwa mfumo wa elimu uliopo nchini ni mbovu.

Komu aliyasema hayo juzi katika Tarafa ya Kibosho Magharibi alipokuwa kwenye ziara na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga.

Wakati wa ziara hiyo, Komu alilenga kusikiliza kero za wananchi na kukutana na viongozi waliomaliza muda wao wakiwamo wenyeviti wa vijiji na madiwani.

“Watanzania wanatakiwa kujengewa misingi bora ya elimu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Elimu ya ujasiriamali katika mfumo wa elimu nchini

Uzoefu na tafiti vinaonyesha vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za elimu nchini wanakabiliwa na changamoto ya kupata ajira.

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumo wa elimu nchini wafananishwa na mbuni

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema mfumo wa elimu ya Tanzania hautoi taswira ya ubora, hivyo ni sawa na mbuni kukificha kichwa kwenye manyoya yake wakati mwili uko nje.

 

10 years ago

Habarileo

Mbowe ‘alia’ na mfumo wa elimu nchini

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman MboweMWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa tatizo la elimu hapa nchini linasababishwa na wasimamizi wa mfumo wa elimu.

 

10 years ago

Mtanzania

Mbunge alalamikia maji yanayoharibu meno

MBUNGE wa Viti Maalumu, Rebecca Ngodo (Chadema), amelalamikia maji ya wilayani Meru kuwa yanawaharibu meno wakazi wa maeneo hayo.

Akiuliza swali bungeni jana, Ngodo alisema wananchi wa wilaya hiyo wanapata athari za afya ikiwemo kuwa na meno yenye rangi ya kahawia na miguu yenye matege kutokana na maji kuwa na madini ya fluoride iliyozidi.

“Ni wajibu wa Serikali kuhakikisha watu wake wanapata maji safi na salama kutokana na kodi wanazolipa, Serikali inafanya nini kukabiliana na ongezeko la...

 

5 years ago

Michuzi

Haki Elimu Yatoa Tathmini ya Mfumo wa Elimu Baada ya Covid 19

 Na Humphrey Shao, Dar es Salaam
Tasisi isiyo ya Kiserikali ya Haki
Elimu Tanzania imesema katika kipindi hiki cha shule kufungwa nje ya utaratibu
rasmi wa likizo kimetufanya tugundue namna mfumo wetu wa utoaji elimu ulivyo na
mapungufu mengi.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Shirika
Hilo Dk.John Kalaghe alipokuwa akizungumza na wadau wa elimu kupitia mkutano
uliandaliwa na tasisi hiyo uliofanyika kwa njia ya mtandao wakati wa
mahadhimishoi ya siku ya mtoto wa Afrika.
Dk Kalaghe alisema kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumo wa elimu wakwaza wazazi

UTAFITI wa Taasisi ya Twaweza, umebaini kuwa wazazi hawana matumaini na mfumo wa elimu unaotumika hivi sasa kufundishia kama utawasaidia watoto kupata ujuzi na stadi kwa kiwango wanachostahili kupata wakiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mfumo wa elimu upitiwe upya’

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ameitaka Serikali kupitia upya mfumo wa elimu na kuanzisha ule unaoongeza uwezo wa kufikiri na kuondoa utamaduni wa kubuni unaozidi kukua.

 

10 years ago

Mwananchi

Huu si mfumo wa elimu wa karne ya 21

Licha ya rasilimali na utajiri mwingi tulionao, Tanzania ni moja ya nchi masikini duniani. Umaskini wa nchi yetu unasababishwa na mambo kadhaa yakiwamo ombwe la uongozi, mgawanyo wa rasilimali za nchi usio sawa na mfumo duni wa elimu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa: Mfumo wa elimu ubadilishwe

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa ameitaka serikali kubadilisha mfumo mbovu wa elimu uliyopo sasa ili kujenga taifa la wasomi waliyoelimika si bora wasomi....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani