Mbowe ‘alia’ na mfumo wa elimu nchini
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa tatizo la elimu hapa nchini linasababishwa na wasimamizi wa mfumo wa elimu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Elimu ya ujasiriamali katika mfumo wa elimu nchini
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Mbunge alalamikia mfumo wa elimu nchini
NA SAFINA SARWATT, MOSHI
MBUNGE wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (Chadema), amesema Watanzania wengi ni masikini kwa kuwa mfumo wa elimu uliopo nchini ni mbovu.
Komu aliyasema hayo juzi katika Tarafa ya Kibosho Magharibi alipokuwa kwenye ziara na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga.
Wakati wa ziara hiyo, Komu alilenga kusikiliza kero za wananchi na kukutana na viongozi waliomaliza muda wao wakiwamo wenyeviti wa vijiji na madiwani.
“Watanzania wanatakiwa kujengewa misingi bora ya elimu...
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Mfumo wa elimu nchini wafananishwa na mbuni
5 years ago
MichuziHaki Elimu Yatoa Tathmini ya Mfumo wa Elimu Baada ya Covid 19
Tasisi isiyo ya Kiserikali ya Haki
Elimu Tanzania imesema katika kipindi hiki cha shule kufungwa nje ya utaratibu
rasmi wa likizo kimetufanya tugundue namna mfumo wetu wa utoaji elimu ulivyo na
mapungufu mengi.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Shirika
Hilo Dk.John Kalaghe alipokuwa akizungumza na wadau wa elimu kupitia mkutano
uliandaliwa na tasisi hiyo uliofanyika kwa njia ya mtandao wakati wa
mahadhimishoi ya siku ya mtoto wa Afrika.
Dk Kalaghe alisema kuwa...
10 years ago
VijimamboMbowe aibua mapya mfumo wa BVR.
Akifungua kikao cha baraza la uongozi wa chama hicho Kanda za Nyanda za Juu Kusini jana alisema, Mshauri Mwelekezi kutoka Marekani Darell Geusz...
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Mbowe: Serikali ya CCM ina mfumo wa kirafiki
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ina mfumo wa kirafiki katika utawala wenye utitiri wa viongozi unaogharimu taifa mamilioni...
5 years ago
Bongo514 Feb
Belle 9 alia na utaratibu wa ‘PF3’ nchini
Belle 9 ameishauri serikali kufuta huduma ya PF3 ambayo inaonekana kuchelewesha wagonjwa wengi kuikosa huduma muhimu ya kiafya, inayoweza kuokoa maisha ya watu ndani ya wakati mwafaka.
Muimbaji huyo amesema hayo baada ya kuenea kwa taarifa zinazodai kuwa kifo cha baba yake mzazi, aliyepata ajali usiku wa kuamkia Jumatatu, baada ya kugongwa na pikipiki, kilitokana na kucheleweshwa kupata huduma hospitalini, kutokana na kukosa PF3.
“Mimi nadhani PF3 ingefutwa. Wangebadilisha utaratibu PF3...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Mfumo wa elimu wakwaza wazazi
UTAFITI wa Taasisi ya Twaweza, umebaini kuwa wazazi hawana matumaini na mfumo wa elimu unaotumika hivi sasa kufundishia kama utawasaidia watoto kupata ujuzi na stadi kwa kiwango wanachostahili kupata wakiwa...
10 years ago
Mwananchi05 Dec
‘Mfumo wa elimu una matatizo’