Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete ‘avuruga’ mjadala

>Rais Jakaya Kikwete jana alibadili upepo wa mchakato mzima wa Katiba baada ya kutoa maoni yake binafsi, akitaka muundo wa Serikali mbili badala ya tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kikwete achochea mjadala Escrow

Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge kuhusu kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow imepokewa kwa hisia tofauti na wasomi, wanasiasa na wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete afunga mjadala wa gesi

>Rais Jakaya Kikwete amefunga mjadala wa wafanyabiashara wazawa wanaotaka kupewa kipaumbele katika uwekezaji wa sekta ya gesi akisema Shirika la Maendeleo la Petroli(TPDC) linajitosheleza kuwasaidia Watanzania wanufaike na rasilimali hiyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mjadala Bunge Maalum la Katiba halininyimi usingizi — Rais Kikwete

jk1

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa  mhadhara  katika Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi  jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana  Rais Kikwete akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake.

jk2

jk3

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda amwakilisha Rais Kikwete kwenye mjadala wa uwekezaji Afrika- London

PG4A6255

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika kwenye hoteli ya Savoyy , London, Oktoba 20/10/14.Wengine pichani ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda Rais wa Gahana,John Mahama na Rais wa Rwanda Paul Kagame. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A6276

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallage  Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji ...

 

11 years ago

GPL

Tambwe avuruga mazoezi Simba SC

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto).
Na Sweetbert Lukonge
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe, jana alikuwa kituko katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika Gym ya Silas iliyopo Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Katika mazoezi hayo, Tambwe alikuwa kituko kutokana na muda mwingi kufanya makosa kwa kwenda kinyume na maelekezo ya kiongozi wao, Silas Bungaca...

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Lipumba avuruga Bunge

Kwa mara ya pili, Spika Anne Makinda jana alilazimika kuahirisha kwa muda shughuli za Bunge la Jamhuri ya Muungano baada ya wabunge wa vyama vya upinzani kukataa kukaa, wakishinikiza kitendo cha polisi kumpiga na baadaye kumkamata Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kijadiliwe kwa masilahi ya Taifa.

 

11 years ago

Habarileo

Kigogo avuruga vita ya mihadarati

WAKATI Serikali ya Rais Jakaya Kikwete ikifanya kila linalowezekana kuhakikisha inapambana kwa dhati na biashara haramu ya dawa za kulevya, baadhi ya vigogo serikalini wametajwa kutaka kudhoofisha juhudi hizo kwa kukumbatia watuhumiwa waliokamatwa.

 

10 years ago

Michuzi

CCM KUMEKUCHA JAJI RAMADHARA AVURUGA MWELEKEO WA WAGOMBEA


CV YA JUDGE RAMADHANI Nimezaliwa Desemba 28, mwaka 1945 Zanzibar mjini nikiwa ni mtoto wa pili kati ya watoto wanane, wa kike wanne na wanaume wanne. Ni Mkristo wa dhehebu la Anglikana. 
Nimesoma shule mbalimbali za msingi Mpwapwa mkoani Dodoma 1952 -1953 nikaenda Town School-Tabora nikasoma darasa la tatu hadi la nne mwaka 1954-1956 na darasa la sita na saba nilisoma Kazel Hill sasa inatwa Shule ya Msingi Itetemia mwaka 1957-1958. Na darasa la nane tu mwaka 1959 nikarudi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani