Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigogo avuruga vita ya mihadarati

WAKATI Serikali ya Rais Jakaya Kikwete ikifanya kila linalowezekana kuhakikisha inapambana kwa dhati na biashara haramu ya dawa za kulevya, baadhi ya vigogo serikalini wametajwa kutaka kudhoofisha juhudi hizo kwa kukumbatia watuhumiwa waliokamatwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KIGOGO WA WEMA ATANGAZA VITA NA DIAMOND

Stori: Shakoor Jongo
Yule kigogo au taita aliyekuwa akimpa jeuri ya fedha Wema Isaac Sepetu ajulikanaye kwa jina moja la Clement anadaiwa kutangaza vita na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’.
Habari ‘hoti’ zinadai kuwa Clement anataka Diamond arudishe gharama alizomgharamia Wema ndipo waendeleze mapenzi yao. Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ na Wema Isaac...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete ‘avuruga’ mjadala

>Rais Jakaya Kikwete jana alibadili upepo wa mchakato mzima wa Katiba baada ya kutoa maoni yake binafsi, akitaka muundo wa Serikali mbili badala ya tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Lipumba avuruga Bunge

Kwa mara ya pili, Spika Anne Makinda jana alilazimika kuahirisha kwa muda shughuli za Bunge la Jamhuri ya Muungano baada ya wabunge wa vyama vya upinzani kukataa kukaa, wakishinikiza kitendo cha polisi kumpiga na baadaye kumkamata Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kijadiliwe kwa masilahi ya Taifa.

 

11 years ago

GPL

Tambwe avuruga mazoezi Simba SC

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto).
Na Sweetbert Lukonge
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe, jana alikuwa kituko katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika Gym ya Silas iliyopo Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Katika mazoezi hayo, Tambwe alikuwa kituko kutokana na muda mwingi kufanya makosa kwa kwenda kinyume na maelekezo ya kiongozi wao, Silas Bungaca...

 

10 years ago

Michuzi

CCM KUMEKUCHA JAJI RAMADHARA AVURUGA MWELEKEO WA WAGOMBEA


CV YA JUDGE RAMADHANI Nimezaliwa Desemba 28, mwaka 1945 Zanzibar mjini nikiwa ni mtoto wa pili kati ya watoto wanane, wa kike wanne na wanaume wanne. Ni Mkristo wa dhehebu la Anglikana. 
Nimesoma shule mbalimbali za msingi Mpwapwa mkoani Dodoma 1952 -1953 nikaenda Town School-Tabora nikasoma darasa la tatu hadi la nne mwaka 1954-1956 na darasa la sita na saba nilisoma Kazel Hill sasa inatwa Shule ya Msingi Itetemia mwaka 1957-1958. Na darasa la nane tu mwaka 1959 nikarudi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bomu Jipya: Hii ni Vita ya Utamaduni, Ni Vita ya Kutawaliwa Kiakili

AWALI kuna wale waliolalamikia kuhusu maadili hasa pale filamu za kitanzania zilipozuiliwa na watayarishaji wetu wakashindwa kujenga hoja kwa kuuliza kwanini sinema zao zikitamka tu neno la Shoga wanaambiwa watoe lakini za kutoka nje Mashoga wanaonekana, hapa kuna maswali mengi sana.

1. Kwanini balozi wa Korea kwa niaba ya nchi yake alikuwa anatoa tamthilia za kikorea zionyeshwe ITV bure?
2. Kwanini serikali ya China inaingia gharama za kutafsiri tamthilia zao kwa kiswahili na kuzitoa...

 

10 years ago

Vijimambo

Makongoro: Lowassa sikumuona Vita ya Kagera, Labda alikuja baada ya vita kuburudisha wanajeshi

MAKONGORO: Tupimwe afya kwani tunataka kwenda kuchezea Real Madrid au Manchester United? 
CHARLES Makongoro Nyerere (CMN) ni miongoni mwa wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kutaka kuchaguliwa kuwania urais kupitia chama hicho mwaka huu. Raia Mwema lilifanya naye mahojiano wiki hii nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Endelea
-RAIA MWEMA: Kwanini wana CCM wanatakiwa wakuchague wewe uwe mgombea wao na si mwingine miongoni mwa wenzako 41 waliojitokeza kuwania nafasi hiyo?MAKONGORO: Mimi si...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania uchochoro wa mihadarati

Imeelezwa kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi tatu za Afrika ambazo zimekuwa zikitumiwa na wahalifu wa kimataifa kupitisha dawa haramu za kulevya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake waathiriwa na mihadarati TZ

Imeelezwa kuwa utumiaji wa dawa hizo miongoni mwa wanawake ni changamoto kubwa katika jamii,visiwani Zanzibar

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani