Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TGNP NA KONGAMANO LA WAZI KUJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA‏

Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi (katikati), akitoa hotuba yake wakati wa kongamano la wazi la jamii kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya. (kushoto), Mdau wa Maendeleo Humphrey Polepole, na kulia Mwanaharakati wa Masuala ya Kijamii na Haki za Binaadamu, Gemma Akimali. Kushoto, Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi akiteta jambo na Mwanaharakati wa Masuala ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) Imeandaa Kongamano la kujadili mchakato wa kupata Katiba mpya

009

Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), Imeandaa Kongamano la kujadili mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kongamano hilo litafanyika tarehe 27 Julai 2014 siku ya Jumapili kuanzia saa 8 mchana ndani ya ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kongamano hilo litarushwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha Star TV

Mada kuu ya kongamano hilo ni, “Tujadili na Kutafakari Mchakato wa Katiba Mpya kwa Manufaa ya Taifa Letu”.

Watoa Mada katika...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA MARIDHINO YA MCHAKATO WA KATIBA MPYA KUFANYIKA DODOMA

Na  Magreth Kinabo- MAELEZO
Baraza la Vyama vya Siasa nchini  limeamua mazungumzo  ya maridhiano  kati ya pande zinazokizana kuhusu kuendelea kwa  Bunge Maalum la  Katiba  kutokana na mvutano  wa kutaka serikali mbili au tatu  yaendelee kupitia kamati zitakazoundwa.
Aidha baraza hilo,limeamua kufanyike kongamano Agosti 9 na 10 mwaka huu mjini Dodoma kwa  ajili  ya kuangalia maslahi mapana  ya taifa.
Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa baraza hilo, Peter  Kuga  Mziray, wakati akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

Kongamano la mchakato wa Katiba lasogezwa mbele

Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania limesema kwamba kongamano la kujadili chakato wa kutunga Katiba mpya na changamoto zake lililopangwa kufanyika Agosti 9 na 10  mwaka huu limesogezwa mbele, hivyo litatangaza tarehe ya kufanyika.
Kauli hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti wa  baraza hilo, Peter Mziray katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari mjini Dodoma leo.
“Kutokana na uzito wa kongamano hilo na kazi kubwa ya maandaliziyake, inayotokana na uwingi  na uzito wa wageni waalikwa,...

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

HUDUMA YA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY YAOMBA KUWEPO MJADALA WA WAZI KUJADILI TATIZO LA ULEVI NCHINI‏

Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for All Ministry    Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for All Ministry (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kuongezeka kwa joto duniani na athari zake pamoja na tatizo la ulevi nchini ambapo kanisa hilo limeshauri kuwepo na mjadala wa wazi kujadili jambo hilo. Kutoka kushoto ni Mchungaji, Martin Ndaki na Katibu wa huduma hiyo, Palemo...

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Katiba Mpya ilivyoligawa Taifa

>Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingi. Usemi huo umejidhihirisha kwenye mchakato wa mabadiliko ya Katiba ambao tayari umeonyesha kuligawa taifa katika makundi matatu; Serikali, taasisi za dini na vyama vya siasa.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO KATIBA MPYA: Hamad: Kwa nini Wazanzibari wanapaswa kupitisha Katiba

>Wakati Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba ukifikia hatua ya Kura ya maoni inayotarajiwa kupigwa Aprili 30 mwaka huu, watu wameendelea kutoa maoni yao.

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAZUNGUMZIA MCHAKATO KATIBA MPYA

Mwakilishi kutoka Asasi ya Wanawake ya Ulingo, Dk. Avemaria Semakafu (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mkutano na wahariri wa vyombo vya habari. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka taasisi moja wapo inayounda Mtandao wa Wanawake na Katiba akiwasilisha mada katika mkutano huo. Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano na baadhi ya wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba. Mmoja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK atakiwa kunusuru mchakato Katiba mpya

MCHUNGAJI wa Kanisa la PAG, Charles Kanyika, amemtaka Rais Jakaya Kikwete, kushirikiana na viongozi wastaafu kunusuru nchi katika kipindi hiki cha kuelekea kutunga Katiba mpya. Mchungaji Kanyika alisema Rais Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani