WAKILI KICHEELE AIOMBA MAHAKAMA KUFUNGUA AKAUNTI YA MTUHUMIWA ANAYEKABILIWA KWA KOSA LA KULAWITI
![](https://1.bp.blogspot.com/-6PpPNrtVSI8/XkqlE1yacrI/AAAAAAALdw8/qrUAn7kzLD0K7y06hYfFs8019nXBg1ZvACLcBGAsYHQ/s72-c/06bfda21-15e6-41d7-bf61-d7afc4312ce3.jpg)
Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu
WAKILI Nyaronyo Kicheele anayemtetea mshtakiwa Samwel Philemon anayekabiliwa na kosa la kulawiti ameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufungua akaunti za mteja wake zinashoshikiliwa na polisi kwani mashtaka yanayomkabili siyo ya uhujumu uchumi na wala hayahusiani na fedha.
Kicheele amewasilisha maombi hayo leo Februari 17,mwaka 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Rashid Chaungu wakati mshtakiwa Philemon ambaye ni mfanyabiashara na mwenzake ambaye ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UZfru-goepo/XpC1KcOwvvI/AAAAAAALmu8/zJr3O_0wlqsXZsg5EKZVXOpUIskYB4DWwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200410-WA0016.jpg)
Ahukumiwa maisha jela kwa kosa la kubaka na kulawiti
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Njombe imemuhukumu Hezron Ndone ( 44) mkazi wa joshoni kata ya mji mwema mjini Njombe kwenda jela kifungo cha maisha kwa kosa kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kumzaa ambaye ni mwanafunzi darasa la tano mwenye umri wa miaka 10.
Akisoma hukumu ya kesi namba 14 ya mwaka 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya mkoa Njombe Hassan Mkakube alisema mtuhumiwaalishtakiwa kwa makosa manne mawili ya kuzini na maalimu kinyume na...
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE ASHANGAA MTUHUMIWA KUACHIWA NA MAHAKAMA ZANZIBAR KWA KUKOSEKANA MKALIMANI
10 years ago
Habarileo10 Sep
Watetea viongozi kufungua akaunti nje
BAADHI ya wajumbe wa Bunge la Katiba wametetea viongozi kufungua akaunti nje ya nchi wakisema uongozi si utumwa.
11 years ago
Mwananchi13 May
Wajasiriamali watakiwa kufungua akaunti ACB
11 years ago
Habarileo03 Jun
DPP aiomba Mahakama Kuu kutupa ombi la Ponda
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali ombi la Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Shekhe Issa Ponda kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro.
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Wakili Minde ashauri gharama za kufungua kesi zipunguzwe
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZtmxWKXGxK8/VWV44xrGEqI/AAAAAAAHaDk/2WOKLo1tXeY/s72-c/index.jpg)
MAKALA YA SHERIA; NI KOSA ASKARI KUONDOKA NA MTU MWINGINE BAADA YA KUMKOSA MTUHUMIWA NYUMBANI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZtmxWKXGxK8/VWV44xrGEqI/AAAAAAAHaDk/2WOKLo1tXeY/s320/index.jpg)
Malalamiko ya raia dhidi ya jeshi la polisi hayataishi kama polisi wenyewe hawatajirekebisha. Na ieleweke kuwa si kweli kwamba wanaolalamika ni wajinga au hawana sababu za msingi. Mara zote ukiangalia malalamiko ya raia huwa ni ya msingi na mzizi wake ni mmoja tu. Ni utamaduni wa askari wetu kutopenda kutenda hatua kwa hatua kama sheria inavyoagiza. Sheria imetoa maelezo mazuri tu ya namna ya kuyaendea mambo....
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Mbowe apanda kizimbani Himo, aiomba Mahakama ifute kesi
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hhL0MdDLp-U/UzWbuh4jAFI/AAAAAAAFXCY/kVZU6FZ3L-c/s72-c/8.jpg)
News alert mahakama ya rufaa yawaachia huru wachina wawili waliofungwa kwa kosa la kuvua samaki nchini kinyume na sheria
![](http://1.bp.blogspot.com/-hhL0MdDLp-U/UzWbuh4jAFI/AAAAAAAFXCY/kVZU6FZ3L-c/s1600/8.jpg)