Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtuhumiwa ugaidi Kenya alitoweka shuleni Dodoma

Mtanzania aliyekamatwa Kenya akidaiwa kufanya ugaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa uliosababisha vifo vya watu 148, Rashid Charles Mberesero (20) ni mwanafunzi wa kidato cha tano, lakini uongozi wa shule anayosoma umesema alitoweka shuleni hapo Desemba mwaka jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MTUHUMIWA UGAIDI ANASWA NA POLISI!

Mtuhumiwa  huyo akiwa kituoni. Na Makongoro Oging’ HALI tete! Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke, Dar lilifanikiwa kumdhibiti mtu mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja kufuatia madai ya kuvamia Kituo cha Polisi Charambe akiwa na panga. Habari zilizopatikana kutoka kwa raia wa eneo hilo ambao walimtafsiri mtu huyo kama gaidi kutokana na ujasiri wake wa kuvamia kituo kwa mapanga kwa lengo la kutaka kuwajeruhi askari...

 

9 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa ugaidi ajirusha ghorofani

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imewakamata watuhumiwa 26 wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi, huku Ally Ulatule anayetajwa kama kinara wa vikundi hivyo akijaribu kutoroka au kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya tatu wakati akihojiwa na polisi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtuhumiwa wa ugaidi akamatwa Uingereza

Mtuhumiwa wa ugaidi Moazzam Begg amekamatwa nchini Uingereza pamoja na wenzake watatu

 

10 years ago

Mtanzania

Mtuhumiwa ugaidi azua jambo kortini

Arusha Town

Arusha Town

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

WATUHUMIWA wa kesi ya ugaidi na kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al-Shabaab la nchini Somalia, wametaka upande wa mashtaka uwaeleze alipo mtuhumiwa mwenzao, Abdallah Thabit.

Malalamiko hayo yalitolewa jana mbele ya Hakimu Mkazi, Rose Ngoka, wakati kesi hiyo ilipokuwa ikitajwa.

Wakati watuhumiwa hao wakiwa mbele ya hakimu huyo, mtuhumiwa Ally Hamis alinyoosha mkono na kumuomba Hakimu Ngoka amsaidie kuuliza upande wa mashtaka ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa matukio ya ugaidi auawa Arusha

Mtu anayedaiwa kuwa kiongozi mkuu wa kundi la watu wanaohusika na matukio ya milipuko ya mabomu na umwagiaji tindikali viongozi wa dini ameuawa kwa kupigwa risasi na jeshi la polisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa ugaidi Arusha afariki mikononi mwa polisi

Hatimaye Abdulkarimu Thabiti Hasia aliyekuwa akituhumiwa kwa ugaidi, amefariki katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru alipokuwa amelazwa kwa miezi sita akiwa mikononi wa polisi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa ugaidi ajaribu kujiua kwa kujirusha ghorofani

Mtu anayedaiwa kuwa mratibu wa matukio ya ugaidi, uporaji wa silaha na mauaji katika vituo vya polisi , Ally Ulature (60) amejeruhiwa baada ya kujirusha katika ghorofa  kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni azimio la kujiua  au kutoroka.

 

10 years ago

Bongo5

Mtuhumiwa wa Ugaidi nchini Marekani akiri asingekamatwa angemuua Obama

Mtu mmoja anayetuhumiwa kutaka kushambulia mji mkuu wa Marekani Washington DC, aliomba kituo cha televisheni kimoja kumtembelea mahabusu na alipohojiwa na mwandishi wa habari kama asingekamatwa alisema alisema angehakikisha risasi inaingia kichwani kwa Obama. Mwandishi wa kituo cha televisheni (WXIX-TV) alidai kuwa mtuhumiwa huyo, Christopher Lee Cornell alipiga simu kutoka jela ya  Kentucky ambako anashikiliwa na […]

 

10 years ago

Vijimambo

RPC DODOMA ONGEA NA VIONGOZI WA TARAFA YA DODOMA MJINI KUHUSIANA NA HALI YA ULINZI NA USALAMA PAMOJA NA MATISHIO YA UGAIDI MKOANI HUMO

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime - SACP akitoa elimu juu ya hali ya ulinzi na usalama na matishio ya kiuhalifu katika kikao kilichojumuisha wakuu wa vyombo vya dola Mkoa wa Dodoma, viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dodoma pamoja na viongozi wa diniBalozi Mstaafu Job Lusinde Mwenyekiti wa Baraza la wazee Mkoa wa Dodoma  akiongea jambo wakati wa utoaji elimu iliyotolewa kwa viongozi wa mkoa wa Dodoma ili kuhimarisha ushirikiano na kuondoa machafuko ambayo yanaweza kutokea.
 Padre...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani