Mtuhumiwa azua kihoja mahakamani Rwanda
Mushukiwa wa mauaji ya kimbari amekataa kesi yake kusikilizwa akisema kwamba hana haki zilizo sawa na mwendesha mashitaka.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili07 Sep
Habre azua kihoja mahakamani
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Mtuhumiwa ugaidi azua jambo kortini
Arusha Town
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
WATUHUMIWA wa kesi ya ugaidi na kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al-Shabaab la nchini Somalia, wametaka upande wa mashtaka uwaeleze alipo mtuhumiwa mwenzao, Abdallah Thabit.
Malalamiko hayo yalitolewa jana mbele ya Hakimu Mkazi, Rose Ngoka, wakati kesi hiyo ilipokuwa ikitajwa.
Wakati watuhumiwa hao wakiwa mbele ya hakimu huyo, mtuhumiwa Ally Hamis alinyoosha mkono na kumuomba Hakimu Ngoka amsaidie kuuliza upande wa mashtaka ni...
11 years ago
Mtanzania07 Aug
Sheikh Farid azua tafrani mahakamani
Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), jana amezua tafrani mahakamani baada ya kuhoji kwanini anashitakiwa Tanzania Bara kwa ugaidi wakati Zanzibar ni nchi ambayo ina Mahakama Kuu.
Sheikh Farid alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen...
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Askari amtetea mtuhumiwa mahakamani
KESI ya kughushi inayomkabili mfanyabiashara, Hans Macha imechukua sura mpya baada ya askari polisi E.2982 Johanes Mgendi kutoa ushahidi upande wa mtuhumiwa kwenye kesi hiyo. Mgendi ambaye ni mtaalamu wa...
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Mtuhumiwa Masasi atishia kujipaka kinyesi mahakamani
MMOJA wa mahabusu wanaokabiliwa na kesi za maandamano yasiyo na kibali, uporaji, kuchoma nyumba na kuharibu mali yaliyofanyika Januari 26, 2013 mjini Masasi, Araibu Mohamed, ametishia kutorejea mahabusu endapo kesi...
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Mtuhumiwa wa mauaji ya Rwanda akamatwa
9 years ago
Mzalendo Zanzibar02 Sep
Jee ni yupi wakupelekwa mahakamani tena (The hague) Mkapa alofanya mauaji ya raia wasio na hatia au Mtuhumiwa Luwassa?
Tokea atangeze kujiondoa ccm na kujiunga chama cha democrasia na maendeleo( Chadema)Mh Edward Luwassa ,imekua kasakamwa na wanafiki wa chama tawala na kulikuza swala la richmon mama vile yeye ni mtuhumiwa pekee ndani ya ccm alokua […]
The post Jee ni yupi wakupelekwa mahakamani tena (The hague) Mkapa alofanya mauaji ya raia wasio na hatia au Mtuhumiwa Luwassa? appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
Punda wapendanao wazua kihoja
9 years ago
Vijimambo17 Sep
MCHUNGAJI MTIKILA AIBUKA NA KIHOJA HIKI LEO,NAYE AUNGANA NA LIPUMBA NA SLAA KUIMBA WIMBO WA LOWASSA,SOMA HAPO KUJUA
NA KAROLI VINSENTMWENYEKITI wa cha Democratic Party (DP), Christopher Mtikila ameibuka na kihoja pale alipowataka Watanzania siku ya kupiga kura tarehe 25 octoba mwaka huu kutoipigia kura kipengele cha Urais na wataka watanzaniakuwachagua wabunge na Madiwani peke yake,kwakuwa wagombea wote wa urais waliosiamishwa kwenye vyama vayo hawana uwezo wa kuliongoza taifa hili.Kauli ya hiyo ya Mchangaji Mtikila ameitoa leo Jijini Dar es Saalam wakati wa mkutano na waandishi wa Habari ambapo...