Sheikh Farid azua tafrani mahakamani
Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), jana amezua tafrani mahakamani baada ya kuhoji kwanini anashitakiwa Tanzania Bara kwa ugaidi wakati Zanzibar ni nchi ambayo ina Mahakama Kuu.
Sheikh Farid alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 May
Sheikh Farid wa uamsho aibua mapya mahakamani
10 years ago
Mtanzania02 Oct
AG Zanzibar azua tafrani
![Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/Othman-Masoud-Othman1.jpg)
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, jana alitibua wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, baada ya kuikataa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Baada ya kupiga kura ya hapana, baadhi ya wajumbe walimzomea mwanasheria huyo wakionyesha kutoridhishwa na msimamo wake.
Kutokana na hali hiyo, baada ya Bunge kuahirishwa saa nne asubuhi, askari wa Bunge walilazimika kumtoa bungeni chini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVLRT4mlD*xsnHfcepqJ8D9B6p9Me77WteGDnDGVQ1koN8TPoSdWrkurFY1J2fxJtQUqz0a-SrHbLnvGJ3Q4ZM*E/okwi.jpg)
Okwi avamiwa, azua tafrani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El*IEdiCAtpevnsLNl1yPSsOZRST6-myh0wTVpPVQLkHszpfYM*pDeIdsuxekBGuTiPRZAOEvRcYknbAbDmGiV39/wpidlulu1.jpg)
AUNTY LULU AZUA TAFRANI BAA
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Mtanzania azua tafrani katika familia ya Zuma
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Sheikh Farid apanda kizimbani Kisutu
10 years ago
Mtanzania18 Sep
Ulinzi mkali kesi ya Sheikh Farid
![Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Sheikh-Farid-Hadi-Ahmed.jpg)
Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
ULINZI mkali wa polisi na mbwa umetawala Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana, wakati kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) na wenzake ilipokuwa ikitajwa.
Askari wenye sare na wale waliovaa kiraia walitanda kila kona ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuhakikisha usalama unakuwapo.
Ndugu wa...
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Maombi ya Sheikh Farid yaanza kusikilizwa
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imeanza kusikiliza maombi ya Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) na wenzake yaliyoomba Mahakama ipitie kesi...
10 years ago
Habarileo09 Jun
Sheikh Farid, wenzake wagoma kushuka
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake, jana waligoma kushuka kwenye gari la Magereza kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.