Okwi avamiwa, azua tafrani

Mshambuliaji Mganda wa timu hiyo, Emmanuel Okwi. Martha Mboma na Khadija Mngwai KATIKA hali isiyo ya kawaida, juzi mashabiki wa Simba walioonekana na machungu, walimvaa mshambuliaji Mganda wa timu hiyo, Emmanuel Okwi, huku wakimhoji kwa nini timu haifanyi vizuri. Lakini shabiki mmoja, yeye alienda mbali, kwani alijitokeza mbele akitaka kumfanyia fujo, jambo ambalo lilizua fujo na polisi kulazimika kuingilia kati na kuwatawanya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania02 Oct
AG Zanzibar azua tafrani

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, jana alitibua wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, baada ya kuikataa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Baada ya kupiga kura ya hapana, baadhi ya wajumbe walimzomea mwanasheria huyo wakionyesha kutoridhishwa na msimamo wake.
Kutokana na hali hiyo, baada ya Bunge kuahirishwa saa nne asubuhi, askari wa Bunge walilazimika kumtoa bungeni chini...
10 years ago
GPL
AUNTY LULU AZUA TAFRANI BAA
11 years ago
Mtanzania07 Aug
Sheikh Farid azua tafrani mahakamani

Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), jana amezua tafrani mahakamani baada ya kuhoji kwanini anashitakiwa Tanzania Bara kwa ugaidi wakati Zanzibar ni nchi ambayo ina Mahakama Kuu.
Sheikh Farid alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen...
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Mtanzania azua tafrani katika familia ya Zuma
10 years ago
Bongo Movies18 Aug
Lulu Avamiwa
BAD news! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekumbwa na masaibu mapya ya kuvamiwa na vibaka nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar na kumuibia simu zake mbili aina ya Iphone.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo wezi hao wanadaiwa kuruka ukuta na kufanikiwa kuvunja dirisha la chumba anacholala mrembo huyo na kumliza simu hizo huku yeye akiwa amelala fofofo.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wezi hao walitumia mbinu za ‘kisayansi’ kutekeleza zoezi lao kwani siku hiyo Lulu...
10 years ago
GPL
LULU AVAMIWA
11 years ago
GPL
FLORA MBASHA AVAMIWA
11 years ago
GPL
Ngassa avamiwa na mashabiki Arusha
10 years ago
BBCSwahili14 Sep
Albino avamiwa na kujeruhiwa Kenya