Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu Avamiwa

BAD news! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekumbwa na masaibu mapya ya kuvamiwa na vibaka nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar na kumuibia simu zake mbili aina ya Iphone.

Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo wezi hao wanadaiwa kuruka ukuta na kufanikiwa kuvunja dirisha la chumba anacholala mrembo huyo na kumliza simu hizo huku yeye akiwa amelala fofofo.

Kwa mujibu wa chanzo makini, wezi hao walitumia mbinu za ‘kisayansi’ kutekeleza zoezi lao kwani siku hiyo Lulu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LULU AVAMIWA

BAD news! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekumbwa na masaibu mapya ya kuvamiwa na vibaka nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar na kumuibia simu zake mbili aina ya Iphone. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo wezi hao wanadaiwa kuruka ukuta na kufanikiwa kuvunja dirisha la chumba anacholala mrembo huyo na kumliza simu hizo huku yeye akiwa amelala fofofo. ....Soma...

 

11 years ago

GPL

FLORA MBASHA AVAMIWA

Stori: Makongoro Oging'
SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka. Mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba, juzikati, Flora alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Tabata Kimanga jijiini Dar dakika chache baada ya yeye kuingia na gari akitokea mafichoni anakoishi...

 

11 years ago

GPL

Ngassa avamiwa na mashabiki Arusha

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Sweetbert Lukonge, Arusha
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, jana alikuwa ndiye gumzo kubwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini hapa, huku mashabiki wakimvamia mara baada ya mchezo wa timu yake dhidi ya JKT Oljoro ambao ulimalizika kwa Yanga kupata ushindi wa mabao 2-1. Ngassa ambaye katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara alifunga bao moja, almanusura ajeruhiwe na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Albino avamiwa na kujeruhiwa Kenya

Watu wasiojulikana wanaripotiwa kujaribu kukata viungo vya mwili mwili wa mwanamme mmoja albino nchini kenya

 

9 years ago

GPL

MWALIMU AVAMIWA, AKATWA KOROMEO!

Makongoro Oging’ na Issa Mnally UKATILI! Mwalimu Nelson Andrew (23), amevamiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni vibaka na kumkata kwa kisu koromeo katika jaribio la kumtaka awape fedha la sivyo wangemuua. Mwalimu Nelson Andrew akiwa na jeraha shingoni baada ya kujeruhiwa. Akizungumza na Uwazi hivi karibuni, kaka wa mwalimu huyo, Andes Enock alisema tukio hilo lilijiri saa nane mchana wa Septemba 10, mwaka huu, wakati yeye na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakili anayemtetea mwanahabari avamiwa

WAKILI, Karoli Mluge, anayemtetea mwandishi wa habari, Edith Majura, katika kesi ya kudai makazi yake kwa wasimamizi wa mirathi ya baba mzazi wa watoto wake wawili, marehemu Samweli Komba, amevamiwa...

 

10 years ago

GPL

Okwi avamiwa, azua tafrani

Mshambuliaji Mganda wa timu hiyo, Emmanuel Okwi. Martha Mboma na Khadija Mngwai
KATIKA hali isiyo ya kawaida, juzi mashabiki wa Simba walioonekana na machungu, walimvaa mshambuliaji Mganda wa timu hiyo, Emmanuel Okwi, huku wakimhoji kwa nini timu haifanyi vizuri. Lakini shabiki mmoja, yeye alienda mbali, kwani alijitokeza mbele akitaka kumfanyia fujo, jambo ambalo lilizua fujo na polisi kulazimika kuingilia kati na kuwatawanya...

 

9 years ago

Global Publishers

Kamanda OFM avamiwa na vibaka

Mwandishi wetu, Moro
Hii si sawa! Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, Mkoa wa Morogoro, Dustan Shekidele amevamiwa na vibaka kisha kuporwa kamera na simu alipokuwa akiwatetea wananchi waliovamiwa na vibaka hao katika Mkesha wa Mwaka Mpya.

Awali kamanda huyo alikuwa kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mji Mpya, alipotoka majira ya saa 6:00 usiku ndipo akapigiwa simu na akina mama waliokuwa wakilalamika...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema  hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.

 

 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani