Kamanda OFM avamiwa na vibaka
Mwandishi wetu, Moro
Hii si sawa! Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, Mkoa wa Morogoro, Dustan Shekidele amevamiwa na vibaka kisha kuporwa kamera na simu alipokuwa akiwatetea wananchi waliovamiwa na vibaka hao katika Mkesha wa Mwaka Mpya.
Awali kamanda huyo alikuwa kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mji Mpya, alipotoka majira ya saa 6:00 usiku ndipo akapigiwa simu na akina mama waliokuwa wakilalamika...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL20 Mar
OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CbmSEEf2e0k/U8GMZkOGhHI/AAAAAAAF1q4/dE2Ei_UJM4M/s72-c/10524161_10201284753801464_617083815_n.jpg)
Just in via Skype: eti vibaka walitaka kuiba kombora la kamanda
![](http://4.bp.blogspot.com/-CbmSEEf2e0k/U8GMZkOGhHI/AAAAAAAF1q4/dE2Ei_UJM4M/s1600/10524161_10201284753801464_617083815_n.jpg)
[20:22:57] Ngoma Africa: tena gitaa lenyewe bei mbaya harafu made in Gerezani(sido) kariakoo,Uswahilini
[20:24:55] Ngoma Africa: na mlinzi Sajenti kopro (Dog) Domobaya alikuwa kalala fofo (worry) nitamfuta kazi akiendelea na tabia hizi. Juzi juzi tu walitaka kulamba bundi, yeye kalala....ebo!
[20:26:24] Ngoma Africa: Gitaa hili limetengenezwa kwa chuma na nyuzi zake ni za nondo. Uzito nusu tani. jamaa walitia...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VDIAwcIROxo/UvRkbKTc_VI/AAAAAAAFLdU/tA93i9aFJXA/s72-c/unnamed+(3).jpg)
HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-VDIAwcIROxo/UvRkbKTc_VI/AAAAAAAFLdU/tA93i9aFJXA/s1600/unnamed+(3).jpg)
9 years ago
Bongo Movies18 Aug
Lulu Avamiwa
BAD news! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekumbwa na masaibu mapya ya kuvamiwa na vibaka nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar na kumuibia simu zake mbili aina ya Iphone.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo wezi hao wanadaiwa kuruka ukuta na kufanikiwa kuvunja dirisha la chumba anacholala mrembo huyo na kumliza simu hizo huku yeye akiwa amelala fofofo.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wezi hao walitumia mbinu za ‘kisayansi’ kutekeleza zoezi lao kwani siku hiyo Lulu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSnlhcMAazDwioQ1kEuznQoz*Q1W9F588hnznDI2KXIUttU135wwCYXYfyKBa6IsQbjKHkNfpHDQdFOzlmPBnECt/lulu1.jpg?width=650)
LULU AVAMIWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRmkiNyONmKW6b8GJXPfuWsHT2UPvgV2OmQsf92vBYrWl2lYy9hJm8nAqfk8zwAk1bdUivUq*BxO1X9VUQg7BbdC/FLORA.jpg)
FLORA MBASHA AVAMIWA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aMLkUWs6eSPNXr46SR2*S2rfYS9IcdOMPr7qMyetlz2yFGEqoY-nJe5W6a-UNZWmAEFNHe7qUPKpNUtRRy5mcjc2EiqVA7En/Teacher.jpg?width=650)
MWALIMU AVAMIWA, AKATWA KOROMEO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcJaM*t*-SMxzpjp*8G-5HLr6VDCcofHiMyi2wtno7ibUtz0*vx2Q6CSN8T3I37CKbp2O0pUmSqZOsRTTbrsjXFi/12.jpg?width=650)
Ngassa avamiwa na mashabiki Arusha
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Wakili anayemtetea mwanahabari avamiwa
WAKILI, Karoli Mluge, anayemtetea mwandishi wa habari, Edith Majura, katika kesi ya kudai makazi yake kwa wasimamizi wa mirathi ya baba mzazi wa watoto wake wawili, marehemu Samweli Komba, amevamiwa...