Ngassa avamiwa na mashabiki Arusha
![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcJaM*t*-SMxzpjp*8G-5HLr6VDCcofHiMyi2wtno7ibUtz0*vx2Q6CSN8T3I37CKbp2O0pUmSqZOsRTTbrsjXFi/12.jpg?width=650)
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Sweetbert Lukonge, Arusha KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, jana alikuwa ndiye gumzo kubwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini hapa, huku mashabiki wakimvamia mara baada ya mchezo wa timu yake dhidi ya JKT Oljoro ambao ulimalizika kwa Yanga kupata ushindi wa mabao 2-1. Ngassa ambaye katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara alifunga bao moja, almanusura ajeruhiwe na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Ngassa ajuta kuwatosa El Merreikh, aomba msamaha mashabiki wa simba, adai Yanga wamemgeuka
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Ngassa, amejutia uamuzi wake wa kukataa kujiunga na El Merreikh ya Sudan akisema kuwa yalikuwa ni mapenzi yake makubwa kuichezea Yanga.
Akiongea na Shaffihdauda.com baada ya mchezo wa jana alipoibuka shujaa kwa kuifungia Yanga bao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, Ngassa alisema kuwa baada ya kugundua alifanya makosa makubwa kuwagomea Simba na Azam FC ambao ndio walitaka kumpeleka El...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ov_z2YnkL4k/VDtZAMPZmUI/AAAAAAAAnmY/gypLLHhBxCo/s72-c/M2.jpg)
KABURU NA BINDA WAWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA KATIKA NANI MTANI JEMBE JIJINI ARUSHA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ov_z2YnkL4k/VDtZAMPZmUI/AAAAAAAAnmY/gypLLHhBxCo/s1600/M2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-cLdj2CMUlLM/VDtY_wi12pI/AAAAAAAAnmU/ZZF86DFiYXM/s1600/M%2B1%2B(2).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-yEJrYSNiyJQ/VDtY_wjYKvI/AAAAAAAAnm8/GTtJR5Bx2dE/s1600/M%2B3%2B(2).jpg)
9 years ago
Bongo Movies18 Aug
Lulu Avamiwa
BAD news! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekumbwa na masaibu mapya ya kuvamiwa na vibaka nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar na kumuibia simu zake mbili aina ya Iphone.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo wezi hao wanadaiwa kuruka ukuta na kufanikiwa kuvunja dirisha la chumba anacholala mrembo huyo na kumliza simu hizo huku yeye akiwa amelala fofofo.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wezi hao walitumia mbinu za ‘kisayansi’ kutekeleza zoezi lao kwani siku hiyo Lulu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSnlhcMAazDwioQ1kEuznQoz*Q1W9F588hnznDI2KXIUttU135wwCYXYfyKBa6IsQbjKHkNfpHDQdFOzlmPBnECt/lulu1.jpg?width=650)
LULU AVAMIWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRmkiNyONmKW6b8GJXPfuWsHT2UPvgV2OmQsf92vBYrWl2lYy9hJm8nAqfk8zwAk1bdUivUq*BxO1X9VUQg7BbdC/FLORA.jpg)
FLORA MBASHA AVAMIWA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aMLkUWs6eSPNXr46SR2*S2rfYS9IcdOMPr7qMyetlz2yFGEqoY-nJe5W6a-UNZWmAEFNHe7qUPKpNUtRRy5mcjc2EiqVA7En/Teacher.jpg?width=650)
MWALIMU AVAMIWA, AKATWA KOROMEO!
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Wakili anayemtetea mwanahabari avamiwa
WAKILI, Karoli Mluge, anayemtetea mwandishi wa habari, Edith Majura, katika kesi ya kudai makazi yake kwa wasimamizi wa mirathi ya baba mzazi wa watoto wake wawili, marehemu Samweli Komba, amevamiwa...
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Kamanda OFM avamiwa na vibaka
Mwandishi wetu, Moro
Hii si sawa! Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, Mkoa wa Morogoro, Dustan Shekidele amevamiwa na vibaka kisha kuporwa kamera na simu alipokuwa akiwatetea wananchi waliovamiwa na vibaka hao katika Mkesha wa Mwaka Mpya.
Awali kamanda huyo alikuwa kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mji Mpya, alipotoka majira ya saa 6:00 usiku ndipo akapigiwa simu na akina mama waliokuwa wakilalamika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVLRT4mlD*xsnHfcepqJ8D9B6p9Me77WteGDnDGVQ1koN8TPoSdWrkurFY1J2fxJtQUqz0a-SrHbLnvGJ3Q4ZM*E/okwi.jpg)
Okwi avamiwa, azua tafrani