AUNTY LULU AZUA TAFRANI BAA
![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El*IEdiCAtpevnsLNl1yPSsOZRST6-myh0wTVpPVQLkHszpfYM*pDeIdsuxekBGuTiPRZAOEvRcYknbAbDmGiV39/wpidlulu1.jpg)
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya/Risasi MTANGAZAJI na muigizaji wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amezua tafrani la aina yake baada ya kutinga kwenye baa moja iliyopo maeneo ya Mwananyamala jijini Dar akiwa nusu utupu. Mtangazaji na muigizaji wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Tukio hilo lilitokea juzikati ambapo Lulu alipoingia alipita katikati na kwenda katika kaunta ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania02 Oct
AG Zanzibar azua tafrani
![Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/Othman-Masoud-Othman1.jpg)
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, jana alitibua wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, baada ya kuikataa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Baada ya kupiga kura ya hapana, baadhi ya wajumbe walimzomea mwanasheria huyo wakionyesha kutoridhishwa na msimamo wake.
Kutokana na hali hiyo, baada ya Bunge kuahirishwa saa nne asubuhi, askari wa Bunge walilazimika kumtoa bungeni chini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVLRT4mlD*xsnHfcepqJ8D9B6p9Me77WteGDnDGVQ1koN8TPoSdWrkurFY1J2fxJtQUqz0a-SrHbLnvGJ3Q4ZM*E/okwi.jpg)
Okwi avamiwa, azua tafrani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx23yLsW2Cd76Lpqb8EvVn7zzy0Hr8-FJlavnt0jIK3S4*oR4WPTCX8-CvC3ryl5wiPiVoZrEgdu91eZtAGcG1gEO/Njiwa.jpg)
NJIWA MWENYE HIRIZI AZUSHA TAFRANI BAA
11 years ago
Mtanzania07 Aug
Sheikh Farid azua tafrani mahakamani
![Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Sheikh-Farid-Hadi-Ahmed.jpg)
Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), jana amezua tafrani mahakamani baada ya kuhoji kwanini anashitakiwa Tanzania Bara kwa ugaidi wakati Zanzibar ni nchi ambayo ina Mahakama Kuu.
Sheikh Farid alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen...
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Mtanzania azua tafrani katika familia ya Zuma
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSX90SstcC7p39vVr0kH5Z6ZASJk9v*LvSTFPbVTI3efQqnwsNdkjfpNOPIRM7O*7TjiSJJFjOOHSWR5uE3rAt7r/FRONTJUMAMOSI70.gif?width=650)
AUNTY LULU ASIMULIA ALIVYOBAKWA
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Bondi, Aunty Lulu Wapashana
Mastaa wa Bongo Movies na watangazaji waliowahi kuwa wapenzi, Bondi Bin Suleiman na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni walipashana baada ya kila mmoja kumdhihaki mwenzake kuwa hana kazi anayofanya mjini.
Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya Aunty Lulu ni kubadilisha wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea na kazi yake ya utangazaji na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni mjasiriamali.
Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma hizo akisema mwandani wake huyo wa zamani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6arjMUpHESU7X9gpp9wnNZImGDrFUbOEs-YJbomTzL5-PmallHqHurvKXsgvylXaw91GMvIU1xlnNfnKmnBURbF/gf.jpg?width=650)
AUNTY LULU: NIMEKAMATIKA KIMAPENZI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MCtjzthy82mut*Onc36FQOlq*Ppkpy6D68ppgDzaxAN*5HCRg*DcZ24sFYRrHPHbqX4pjfSWLYllZalvPW9SHXL/timthumb.php.jpg?width=650)
AUNTY LULU: MAKALIO YANANITESA!