Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NJIWA MWENYE HIRIZI AZUSHA TAFRANI BAA

Na Haruni Sanchawa
Timbwili la aina yake lilizuka mwishoni mwa wiki iliyopita baada njiwa aliyekuwa amefungwa hirizi na barua iliyokuwa imeandikwa kwa Lugha ya Kiarabu kuzunguka katika baa zipatazo 26 zilizopo Banana, wilayani Ilala, Dar es Salaam. Njiwa akitolewa hirizi. Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka eneo hilo, njiwa huyo alizunguka katika kila baa iliyopo eneo hilo na mwisho alitua jirani ya baa moja (jina...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NJIWA MWENYE HIRIZI ATIKISA MUHIMBILI

Na makongoro Oging’
USHIRIKINA! Hofu kubwa ilitanda katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jumatatu ya wiki iliyopita, baada ya Njiwa mweusi, mwenye miguu myekundu akiwa na hirizi iliyofungwa katika mojawapo ya mabawa yake, kutua katika miguu ya mgonjwa aliyekuwa amelazwa wodi namba tatu, jengo la Mwaisela. Njiwa aliyetua kwenye kitanda cha mgonjwa na baada ya muda mgonjwa akafariki. Taarifa zilizopatikana kutoka kwa...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU AZUA TAFRANI BAA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya/Risasi
MTANGAZAJI na muigizaji wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amezua tafrani la aina yake baada ya kutinga kwenye baa moja iliyopo maeneo ya Mwananyamala jijini Dar akiwa nusu utupu. Mtangazaji na muigizaji wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Tukio hilo lilitokea juzikati ambapo Lulu alipoingia alipita katikati na kwenda katika kaunta ya...

 

11 years ago

GPL

MAPENZI YA CHUCHU HANS, RAY NI YA NJIWA

Stori: Imelda Mtema
MAMBO hadharani! Penzi ‘hoti’ la mastaa mahiri wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa sasa limekuwa kama la njiwa kwani mara nyingi kila sehemu wapo pamoja na hakuna kificho tena. Ray na Chuchu wakijiachia. Chanzo chetu makini kilieleza kuwa mastaa hao wamekuwa wakionekana pamoja mara nyingi na hivi sasa inadaiwa kuwa wanaishi pamoja huku wakiwa na mtoto wa...

 

11 years ago

GPL

MANDELA, GRACE WALIKUWA NA MAPENZI YA NJIWA

Makala: Sifael Paul na Mitandao
NI jabali wa Afrika. Baba wa Taifa la Afrika Kusini. Alikuwa kipenzi cha wengi, Nelson Rolihlahla Madiba Mandela ‘Mzee Madiba’ (95). Alifariki dunia Desemba 5, mwaka huu na kuzikwa jana kijijini kwake, Qunu huko Eastern Cape, Afrika Kusini. Huwezi kuacha kumzungumzia. Ana vitu vingi hasa juu ya maisha yake. Makala hii inalenga kuangalia maisha yake ya kifamilia hasa kipengele cha...

 

10 years ago

Vijimambo

Mjue Dr. Slaa, msomi, mpole, mkarimu, mwenye busara na mwenye tabasamu la kudumu

Na Yericko Nyerere
Dr. Slaa si mtu mwenye maneno mengi, ni mtulivu na mkimya kiasi chake, mwenye tabasamu la kudumu, lakini akipanda jukwaani na kuanza kulishambulia huku na kule huwezi kuamini kinachotoka ubongoni mwake. Kimya kingi kina mshindo.

Wengi hawamfahamu Dr. Slaa vilivyo, wengi wanamwona sasa baada ya kuingia bungeni na sasa katika majukwaa ya siasa, ukweli ni mtu mbunifu, mpenda maendeleo na mwenye kujitoa kwa ajili ya wengine bila kujibakiza. Ufahamu wangu wa huyu Dr. Slaa ni wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtikisiko wa Hirizi

Siyo kwamba kila mwanadamu anaamini kuwa ili kutatua tatizo linalokukabili ni lazima awe na elimu ya kiwango cha juu, awe mjanja wa mjini au mcha Mungu ategemeaye  maombezi kwa kufanikisha mambo yake. Wako ambao hawapo katika makundi yote hayo. Wao huamini  zaidi katika kile kinachoitwa ’nguvu za giza’.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtikisiko wa Hirizi (2)

Siyo kwamba kila mwanadamu anaamini kuwa ili kutatua tatizo linalokukabili ni lazima awe na elimu ya kiwango cha juu, awe mjanja wa mjini au mcha Mungu ategemeaye  maombezi kwa kufanikisha mambo yake. Wako ambao hawapo katika makundi yote hayo. Wao huamini  zaidi katika kile kinachoitwa ’nguvu za giza’.

 

11 years ago

GPL

HIRIZI ZATUMIKA MAKANISANI

Stori:  Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
SIRI nzito imefichuka! Baadhi ya maaskofu na wachungaji (baadhi lakini) wa makanisa ya kilokole nchini wanadaiwa kutumia hirizi ili kujaza waumini, Uwazi limenyetishiwa. SEHEMU ZINAZOKAA HIZIRI
Kwa mujibu wa mfichua siri huyo, watumishi hao wa Mungu wanaojihusisha na ushirikina wamekuwa wakizifunga hiziri hizo sehemu ya juu ya mkono wa kulia na kufichwa na shati la mikono...

 

9 years ago

Vijimambo

ZARI AMVUA ‘HIRIZI’ TIFFAH


Na Hamida Hassan
DIAMOND upoo! Zarinah Hassan a.k.a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ‘hirizi’, hali iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo.
Mtoto wa staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz, Tiffah.
Awali, Tiffah alivishwa hirizi hiyo siku chache baada ya kuzaliwa na Diamond akaizungumzia kuwa, ni utamaduni wa kawaida ambao kwa mila za Kibongo siyo tatizo.
Hata hivyo, wakati Diamond akitoa ufafanuzi huo baada ya watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani