NJIWA MWENYE HIRIZI ATIKISA MUHIMBILI

Na makongoro Oging’ USHIRIKINA! Hofu kubwa ilitanda katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jumatatu ya wiki iliyopita, baada ya Njiwa mweusi, mwenye miguu myekundu akiwa na hirizi iliyofungwa katika mojawapo ya mabawa yake, kutua katika miguu ya mgonjwa aliyekuwa amelazwa wodi namba tatu, jengo la Mwaisela. Njiwa aliyetua kwenye kitanda cha mgonjwa na baada ya muda mgonjwa akafariki. Taarifa zilizopatikana kutoka kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
NJIWA MWENYE HIRIZI AZUSHA TAFRANI BAA
11 years ago
GPL
MAPENZI YA CHUCHU HANS, RAY NI YA NJIWA
11 years ago
GPLMANDELA, GRACE WALIKUWA NA MAPENZI YA NJIWA
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Mjue Dr. Slaa, msomi, mpole, mkarimu, mwenye busara na mwenye tabasamu la kudumu

Dr. Slaa si mtu mwenye maneno mengi, ni mtulivu na mkimya kiasi chake, mwenye tabasamu la kudumu, lakini akipanda jukwaani na kuanza kulishambulia huku na kule huwezi kuamini kinachotoka ubongoni mwake. Kimya kingi kina mshindo.
Wengi hawamfahamu Dr. Slaa vilivyo, wengi wanamwona sasa baada ya kuingia bungeni na sasa katika majukwaa ya siasa, ukweli ni mtu mbunifu, mpenda maendeleo na mwenye kujitoa kwa ajili ya wengine bila kujibakiza. Ufahamu wangu wa huyu Dr. Slaa ni wa...
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Mtikisiko wa Hirizi
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Mtikisiko wa Hirizi (2)
11 years ago
GPL
HIRIZI ZATUMIKA MAKANISANI
11 years ago
GPL
PAKA AFUNGWA HIRIZI MTINI
10 years ago
GPL
DENTI AKUTWA NA HIRIZI DARASANI