DENTI AKUTWA NA HIRIZI DARASANI

Stori: Na Dustan Shekidele, MorogoroM MTOTOÂ mmoja wa miaka 9 (jina linahifadhiwa)Â ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Manda iliyopo Kijiji cha Mtimbira, wilayani Ulanga, Morogoro wiki iliyopita usiku wa manane anadaiwa kukutwa darasani akiwa na hirizi kubwa kiunoni. Mwananchi akionesha Hirizi iliyofungwa kiunoni mwa mtoto wa miaka tisa (jina linahifadhiwa). Tukio hilo lilitokea katika moja...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
HEEE! DOKTA AKUTWA AKIJARIBU KUMCHOROPOA MIMBA DENTI
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Mtikisiko wa Hirizi
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Mtikisiko wa Hirizi (2)
11 years ago
GPL
HIRIZI ZATUMIKA MAKANISANI
10 years ago
GPL
HIRIZI YAKUTWA KWA WEMA
10 years ago
Vijimambo30 Oct
ZARI AMVUA ‘HIRIZI’ TIFFAH

Na Hamida Hassan
DIAMOND upoo! Zarinah Hassan a.k.a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ‘hirizi’, hali iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo.

Mtoto wa staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz, Tiffah.
Awali, Tiffah alivishwa hirizi hiyo siku chache baada ya kuzaliwa na Diamond akaizungumzia kuwa, ni utamaduni wa kawaida ambao kwa mila za Kibongo siyo tatizo.
Hata hivyo, wakati Diamond akitoa ufafanuzi huo baada ya watu...
11 years ago
GPL
PAKA AFUNGWA HIRIZI MTINI
11 years ago
GPL
MAMA MCHUNGAJI AJIFUNGUA HIRIZI!
11 years ago
GPL
NJIWA MWENYE HIRIZI ATIKISA MUHIMBILI