Mtikisiko wa Hirizi (2)
Siyo kwamba kila mwanadamu anaamini kuwa ili kutatua tatizo linalokukabili ni lazima awe na elimu ya kiwango cha juu, awe mjanja wa mjini au mcha Mungu ategemeaye maombezi kwa kufanikisha mambo yake. Wako ambao hawapo katika makundi yote hayo. Wao huamini zaidi katika kile kinachoitwa ’nguvu za giza’.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Mtikisiko wa Hirizi
Siyo kwamba kila mwanadamu anaamini kuwa ili kutatua tatizo linalokukabili ni lazima awe na elimu ya kiwango cha juu, awe mjanja wa mjini au mcha Mungu ategemeaye maombezi kwa kufanikisha mambo yake. Wako ambao hawapo katika makundi yote hayo. Wao huamini zaidi katika kile kinachoitwa ’nguvu za giza’.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXtsp3NA2aaliFOSFDKEhGz3jMOPbcpVCb*hybnm8dMBFDQWpY1qou0b-QTQL9f4b*e4nKc8I8gOxco6XArhq0J7/hirizi.jpg?width=650)
HIRIZI ZATUMIKA MAKANISANI
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
SIRI nzito imefichuka! Baadhi ya maaskofu na wachungaji (baadhi lakini) wa makanisa ya kilokole nchini wanadaiwa kutumia hirizi ili kujaza waumini, Uwazi limenyetishiwa. SEHEMU ZINAZOKAA HIZIRI
Kwa mujibu wa mfichua siri huyo, watumishi hao wa Mungu wanaojihusisha na ushirikina wamekuwa wakizifunga hiziri hizo sehemu ya juu ya mkono wa kulia na kufichwa na shati la mikono...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5SYuKLMNKFxY-iTG*Soq8iClDVlDOJxLhXCEXjXXhpdAUFwNAZ4CqptVFJ4UR6V8sMkQyRSwHGvgTm3abjmSu9PAP2Ot6Esw/4.jpg?width=650)
HIRIZI YAKUTWA KWA WEMA
Stori: Issa Mnally na Richard Bukos/Risasi Mchanganyiko IMANI za kishirikina? Mshangao wa aina yake umetokea nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 asiyechuja, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ baada ya kutupiwa hirizi getini kwake, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili. Wananchi wakishuhudia hirizi getini kwa Miss Tanzania 2006 asiyechuja, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’. Tukio hilo lililokusanya watu wapenda...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HH5EPnzPgDLCqWf2fbJJQhJgAsqrgoSsXZWGmIQtsH7BZZkkm4qt*VYhZFsZ4FWgiYCbYMG6DrxdQayjo8GLwmo7xZwZtNbl/paka2.jpg)
PAKA AFUNGWA HIRIZI MTINI
Stori: Dustan Shekidele, MOROGORO
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, paka mwenye hirizi kubwa shingoni akiwa hai alikutwa amepigiliwa misumari juu ya mti uliopo jirani na Msikiti wa kwa Mtawara uliopo Kata ya Mwembesongo mkoani hapa. Paka mwenye hirizi kubwa shingoni akiwa amepigiliwa misumari juu ya mti uliopo jirani na Msikiti wa kwa Mtawara uliopo Kata ya Mwembesongo, Morogoro. Tukio hilo lililokusanya umati mkubwa wakiwemo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m3kRA-aqkq*48KI5tyzsSaWoFy0IBpgwwveuFlhvQllWGmAMTskix5C-v-9CPpPKAwfRjyvurdC0ZvSo9huhiRFje93tMCc*/denti.jpg)
DENTI AKUTWA NA HIRIZI DARASANI
Stori: Na Dustan Shekidele, MorogoroM
MTOTOÂ mmoja wa miaka 9 (jina linahifadhiwa)Â ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Manda iliyopo Kijiji cha Mtimbira, wilayani Ulanga, Morogoro wiki iliyopita usiku wa manane anadaiwa kukutwa darasani akiwa na hirizi kubwa kiunoni. Mwananchi akionesha Hirizi iliyofungwa kiunoni mwa mtoto wa miaka tisa (jina linahifadhiwa).
Tukio hilo lilitokea katika moja...
9 years ago
Vijimambo30 Oct
ZARI AMVUA ‘HIRIZI’ TIFFAH
![](http://api.ning.com/files/ITtoOH4FEliZg1kMGVBqFxobUcCMhsCHe6i138Tav-gRIrkcCmSCTUMCJdIDdv2WCBsgIbCNFJd4hlXWuqXVdQzvHeSnSs3P/FrontIjumaa.jpg?width=650)
Na Hamida Hassan
DIAMOND upoo! Zarinah Hassan a.k.a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ‘hirizi’, hali iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo.
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/12132803_1635458573371970_728412592_n1.jpg?width=650)
Mtoto wa staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz, Tiffah.
Awali, Tiffah alivishwa hirizi hiyo siku chache baada ya kuzaliwa na Diamond akaizungumzia kuwa, ni utamaduni wa kawaida ambao kwa mila za Kibongo siyo tatizo.
Hata hivyo, wakati Diamond akitoa ufafanuzi huo baada ya watu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vD-hYj2mu0QISz4-nUiMgISk-B48sEvi0XlQw12vUKm0-T5BVM-KTI6GajLe1tn2QOkFmJA388wVDjNGxaz*t1KXQsu3gRLF/mchungaji.jpg)
MAMA MCHUNGAJI AJIFUNGUA HIRIZI!
Stori: Shani Ramadhani na Rhoda Josiah NI maajabu ya dunia! Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’ lililopo Kata ya Kerege Manofu, Bagamoyo mkoani Pwani, Boniface Onesmo Mahera (38) (pichani), Bentha Seth (27) baada ya kubeba mimba kwa miezi tisa hatimaye amejifungua hirizi, gazeti la kijamii, Uwazi lina mkasa wote. Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’, Bentha Seth...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBInCn39K-LIm-kIVbe7aKrdiCLw-3PtH5Zp0ZhLlriKvFa8FhuRR00KjKL766UKF9mkh-CydVSZj37HXF7-w6JJO/njiwa.jpg)
NJIWA MWENYE HIRIZI ATIKISA MUHIMBILI
Na makongoro Oging’
USHIRIKINA! Hofu kubwa ilitanda katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jumatatu ya wiki iliyopita, baada ya Njiwa mweusi, mwenye miguu myekundu akiwa na hirizi iliyofungwa katika mojawapo ya mabawa yake, kutua katika miguu ya mgonjwa aliyekuwa amelazwa wodi namba tatu, jengo la Mwaisela. Njiwa aliyetua kwenye kitanda cha mgonjwa na baada ya muda mgonjwa akafariki. Taarifa zilizopatikana kutoka kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx23yLsW2Cd76Lpqb8EvVn7zzy0Hr8-FJlavnt0jIK3S4*oR4WPTCX8-CvC3ryl5wiPiVoZrEgdu91eZtAGcG1gEO/Njiwa.jpg)
NJIWA MWENYE HIRIZI AZUSHA TAFRANI BAA
Na Haruni Sanchawa
Timbwili la aina yake lilizuka mwishoni mwa wiki iliyopita baada njiwa aliyekuwa amefungwa hirizi na barua iliyokuwa imeandikwa kwa Lugha ya Kiarabu kuzunguka katika baa zipatazo 26 zilizopo Banana, wilayani Ilala, Dar es Salaam. Njiwa akitolewa hirizi. Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka eneo hilo, njiwa huyo alizunguka katika kila baa iliyopo eneo hilo na mwisho alitua jirani ya baa moja (jina...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania