Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIRIZI ZATUMIKA MAKANISANI

Stori:  Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
SIRI nzito imefichuka! Baadhi ya maaskofu na wachungaji (baadhi lakini) wa makanisa ya kilokole nchini wanadaiwa kutumia hirizi ili kujaza waumini, Uwazi limenyetishiwa. SEHEMU ZINAZOKAA HIZIRI
Kwa mujibu wa mfichua siri huyo, watumishi hao wa Mungu wanaojihusisha na ushirikina wamekuwa wakizifunga hiziri hizo sehemu ya juu ya mkono wa kulia na kufichwa na shati la mikono...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtikisiko wa Hirizi

Siyo kwamba kila mwanadamu anaamini kuwa ili kutatua tatizo linalokukabili ni lazima awe na elimu ya kiwango cha juu, awe mjanja wa mjini au mcha Mungu ategemeaye  maombezi kwa kufanikisha mambo yake. Wako ambao hawapo katika makundi yote hayo. Wao huamini  zaidi katika kile kinachoitwa ’nguvu za giza’.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtikisiko wa Hirizi (2)

Siyo kwamba kila mwanadamu anaamini kuwa ili kutatua tatizo linalokukabili ni lazima awe na elimu ya kiwango cha juu, awe mjanja wa mjini au mcha Mungu ategemeaye  maombezi kwa kufanikisha mambo yake. Wako ambao hawapo katika makundi yote hayo. Wao huamini  zaidi katika kile kinachoitwa ’nguvu za giza’.

 

10 years ago

GPL

DENTI AKUTWA NA HIRIZI DARASANI

Stori: Na Dustan Shekidele, MorogoroM
MTOTO  mmoja wa miaka 9 (jina linahifadhiwa)  ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Manda iliyopo Kijiji cha Mtimbira, wilayani Ulanga, Morogoro wiki iliyopita usiku wa manane anadaiwa kukutwa darasani akiwa na hirizi kubwa kiunoni. Mwananchi akionesha Hirizi iliyofungwa kiunoni mwa mtoto wa miaka tisa (jina linahifadhiwa).
Tukio hilo lilitokea katika moja...

 

10 years ago

GPL

MAMA MCHUNGAJI AJIFUNGUA HIRIZI!

Stori: Shani Ramadhani na Rhoda Josiah NI maajabu ya dunia! Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’ lililopo Kata ya Kerege Manofu, Bagamoyo mkoani Pwani, Boniface Onesmo Mahera (38) (pichani), Bentha Seth (27) baada ya kubeba mimba kwa miezi tisa  hatimaye amejifungua hirizi, gazeti la kijamii, Uwazi lina mkasa wote. Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’,  Bentha Seth...

 

10 years ago

GPL

HIRIZI YAKUTWA KWA WEMA

Stori: Issa Mnally na Richard Bukos/Risasi Mchanganyiko IMANI za kishirikina? Mshangao wa aina yake umetokea nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 asiyechuja, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ baada ya kutupiwa hirizi getini kwake, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili. Wananchi wakishuhudia hirizi getini kwa Miss Tanzania 2006 asiyechuja, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’. Tukio hilo lililokusanya watu wapenda...

 

9 years ago

Vijimambo

ZARI AMVUA ‘HIRIZI’ TIFFAH


Na Hamida Hassan
DIAMOND upoo! Zarinah Hassan a.k.a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ‘hirizi’, hali iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo.
Mtoto wa staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz, Tiffah.
Awali, Tiffah alivishwa hirizi hiyo siku chache baada ya kuzaliwa na Diamond akaizungumzia kuwa, ni utamaduni wa kawaida ambao kwa mila za Kibongo siyo tatizo.
Hata hivyo, wakati Diamond akitoa ufafanuzi huo baada ya watu...

 

10 years ago

GPL

PAKA AFUNGWA HIRIZI MTINI

Stori: Dustan Shekidele, MOROGORO
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, paka mwenye hirizi kubwa shingoni akiwa hai alikutwa amepigiliwa misumari juu ya mti uliopo jirani na Msikiti wa kwa Mtawara uliopo Kata ya Mwembesongo mkoani hapa. Paka mwenye hirizi kubwa shingoni akiwa amepigiliwa misumari juu ya mti uliopo jirani na Msikiti wa kwa Mtawara uliopo Kata ya Mwembesongo, Morogoro. Tukio hilo lililokusanya umati mkubwa wakiwemo...

 

11 years ago

GPL

NJIWA MWENYE HIRIZI ATIKISA MUHIMBILI

Na makongoro Oging’
USHIRIKINA! Hofu kubwa ilitanda katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jumatatu ya wiki iliyopita, baada ya Njiwa mweusi, mwenye miguu myekundu akiwa na hirizi iliyofungwa katika mojawapo ya mabawa yake, kutua katika miguu ya mgonjwa aliyekuwa amelazwa wodi namba tatu, jengo la Mwaisela. Njiwa aliyetua kwenye kitanda cha mgonjwa na baada ya muda mgonjwa akafariki. Taarifa zilizopatikana kutoka kwa...

 

10 years ago

GPL

NJIWA MWENYE HIRIZI AZUSHA TAFRANI BAA

Na Haruni Sanchawa
Timbwili la aina yake lilizuka mwishoni mwa wiki iliyopita baada njiwa aliyekuwa amefungwa hirizi na barua iliyokuwa imeandikwa kwa Lugha ya Kiarabu kuzunguka katika baa zipatazo 26 zilizopo Banana, wilayani Ilala, Dar es Salaam. Njiwa akitolewa hirizi. Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka eneo hilo, njiwa huyo alizunguka katika kila baa iliyopo eneo hilo na mwisho alitua jirani ya baa moja (jina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani