MANDELA, GRACE WALIKUWA NA MAPENZI YA NJIWA
Makala: Sifael Paul na Mitandao NI jabali wa Afrika. Baba wa Taifa la Afrika Kusini. Alikuwa kipenzi cha wengi, Nelson Rolihlahla Madiba Mandela ‘Mzee Madiba’ (95). Alifariki dunia Desemba 5, mwaka huu na kuzikwa jana kijijini kwake, Qunu huko Eastern Cape, Afrika Kusini. Huwezi kuacha kumzungumzia. Ana vitu vingi hasa juu ya maisha yake. Makala hii inalenga kuangalia maisha yake ya kifamilia hasa kipengele cha...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5Y36hMbSNo*lW94JWgS3g-IUZLmIcsQxpdpLAep2p8dtKd4O36cfKeW2784Q-CdFymbAQqEpuD6XkdL6gWh8MJLx7m649oq4/chuchu.jpg?width=650)
MAPENZI YA CHUCHU HANS, RAY NI YA NJIWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBInCn39K-LIm-kIVbe7aKrdiCLw-3PtH5Zp0ZhLlriKvFa8FhuRR00KjKL766UKF9mkh-CydVSZj37HXF7-w6JJO/njiwa.jpg)
NJIWA MWENYE HIRIZI ATIKISA MUHIMBILI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx23yLsW2Cd76Lpqb8EvVn7zzy0Hr8-FJlavnt0jIK3S4*oR4WPTCX8-CvC3ryl5wiPiVoZrEgdu91eZtAGcG1gEO/Njiwa.jpg)
NJIWA MWENYE HIRIZI AZUSHA TAFRANI BAA
10 years ago
Mwananchi25 Apr
Polisi walikuwa wapi vurugu za Bariadi?
10 years ago
BBCSwahili26 Aug
Wanajeshi wa Urusi walikuwa Ukraine kimakosa
10 years ago
Bongo Movies11 May
Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.
Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni, Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa
“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi9spDzYLRhMIHshdO6kJ-leBCrEq*cOhDOf6D3ryf1A4yeSysb816Jn21xpr25Lxkk9A0gnlgfg0cjagsHw3u-3/BillGates.jpg?width=650)
MATAJIRI WALIKUWA MASKINI, UNACHOSHINDWA WEWE NI KIPI?
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Walikuwa maskini kama wewe, sasa ni matajiri wa kutupwa
OPRAH WINFREY.
Hakuna anayezaliwa na fedha, binadamu wote wamekuja duniani wakiwa mikono mitupu kabisa, tena bila nguo. Watu wanapokua, wengi wanakuwa hawana vitu hivyo na hata kula yao wakati mwingine ni ya shida mno.
Wanapofanikiwa, huwa hawakai kimya, wanatamani na wengine wafanikiwe ndiyo maana wengine wamekuwa wazi na kusema: “Kuzaliwa maskini si kosa lako, ila kufa maskini, hilo ni kosa lako.”
Hawa hapa chini ni matajiri wakubwa kwa sasa, ila kabla ya hapo, walikuwa maskini kama wewe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuVMe7HldN6sxAfJgFp2qHRFQVIEhTm6bh9OPTtSyvEKAdeC2yA5jD5s6ujzxI539OI9KXRQ20zFJ7yiAI8tZa5R/kopa.jpg?width=650)
KHADIJA KOPA MARAFIKI ZAKE WALIKUWA WAVULANA SHULENI