Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi walikuwa wapi vurugu za Bariadi?

Wiki iliyopita, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe alitoa tamko kuhusu hatua ambazo Serikali itazichukua dhidi ya taasisi za kidini na nyingine zilizosajiliwa na wizara yake ambazo zinaendesha shughuli zake kinyume na malengo yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Polisi yasikitishwa na vurugu Masasi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara kimeibuka na ushindi kwa kujinyakulia viti 945 sawa na asilimia 88 ya kura zote zilizopigwa katika uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji pamoja na vitongoji uliofanyika kote nchini jana.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wataja chanzo vurugu za Mbagala

POLISI imeeleza undani wa vurugu za juzi na kusababisha vifo vya watu wa eneo la Mbagala Kongowe Mzinga jijini Dar es Salaam na kusema chanzo ni kundi la vijana wahalifu waliojiita ‘Black Americans’.

 

10 years ago

Mwananchi

Vurugu hizi ni ukosefu wa nidhamu polisi

Ukizisoma Kanuni za Kudumu za Jeshi la Polisi (Police General Orders) au kwa kifupi PGO, zimetoa mwongozo mzuri wa namna ya kutekeleza majukumu ya kipolisi. Lakini kubwa zaidi ni usimamizi wa nidhamu kwa askari.

 

10 years ago

GPL

JK: POLISI MJIANDAE KUKABILIANA NA VURUGU ZA UCHAGUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Gwaride la Jeshi la Polisi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi nchini Tanzania kujiandaa kikamilifu ili kukabiliana na vurugu zozote zitakazojitokeza wakati wa uandikishaji wapigakura, upigaji Kura ya Maoni ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu. Akifunga...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi yamsaka Lema kwa vurugu

>Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamtafuta  Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na watu wengine watatu ili kuhojiwa kuhusu malalamiko ya vurugu zilizotokea kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi wa kiti cha udiwani Kata ya Sombetini wiki iliyopita ambapo watu kadhaa walijeruhiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF, Polisi wadhibiti vurugu viwanjani

Siku zote Watanzania tunafahamu kuwa soka ni mchezo unaopendwa na mashabiki wengi siyo katika ardhi yetu pekee bali kote ulimwenguni.

 

9 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi nchini lajipanga kukabili vurugu

Jeshi la polisi nchini limejipanga kuchukua hatua kwa kikundi ama chama chochote cha siasa kinachotarajia kufanya vurugu wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya ubunge, udiwani na urais Oktoba 25 mwaka huu kutokana na kuwepo kwa kauli za baadhi ya watu kuanza kuwahamasisha vijana kutokukubaliana na matokeo kabla muda wa kupiga kura haujafika.

Akizungumza na wadau wa amani mjini Musoma mkoani Mara, mkuu wa jeshi la polisi nchini Kamishina wa jeshi la polisi Ernest Mangu ametoa tahadhari hiyo kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Polisi yatambia uwezo ilionao kukabili vurugu

KAMANDA wa Polisi mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, amesema wanavyo vitendea kazi vya kutosha na vya kisasa kwa ajili ya kukabiliana na vurugu itakayofanywa na mtu ama kikundi cha watu kwa lengo la kuvuruga mchakato mzima wa uchaguzi mkuu.

 

9 years ago

Habarileo

Polisi wazima vurugu za CUF Mji Mkongwe

WAKATI wakisubiri matokeo ya uchaguzi ya rais huku Tume ya Uchaguzi ikitangaza kura za wagombea wabunge na uwakilishi katika majimbo ya uchaguzi Zanzibar, Jeshi la Polisi limelazimika kuzima fujo na vurugu kutoka kwa wafuasi wa CUF waliotanda mitaa ya Mji Mkongwe na barabara kuu ya Darajani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani