Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: POLISI MJIANDAE KUKABILIANA NA VURUGU ZA UCHAGUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Gwaride la Jeshi la Polisi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi nchini Tanzania kujiandaa kikamilifu ili kukabiliana na vurugu zozote zitakazojitokeza wakati wa uandikishaji wapigakura, upigaji Kura ya Maoni ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu. Akifunga...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Burundi 2020: Vurugu na mauaji yakumba kampeini za uchaguzi Burundi

Polisi nchini Burundi wamesema kuwa wamewakamata watu wapatao 64 kutoka chama kikuu cha siasa cha CNL, kumekuwa na ghasia pamoja na mauaji dhidi ya wanachama wa chama kikuu katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa rais tarehe 20 Mei.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vurugu uchaguzi wa Thailand ukianza

Uchaguzi huu unafanyika baada ya miezi kadhaa ya maandamano ya wapinzani kujaribu kutatiza hali ili usifanyike.

 

11 years ago

Mwananchi

Tume ya uchaguzi yalaani vurugu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(Nec), imekemea vitendo vya vurugu na uvunjifu wa amani vinavyotokea katika Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Madiwani katika kata 27 zinazofikia tamati leo na kuviagiza vyombo vya dola kuwachukulia hatua bila kujali vyeo wala itikadi za wahusika.

 

10 years ago

Mtanzania

Uchaguzi Chadema vurugu tupu

John Mnyika

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika

SHABANI MATUTU NA OLIVER OSWALD, DAR ES SALAAM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimebaini njama za kupandikiziwa mamluki wenye nia ya kuvuruga uchaguzi wa chama hicho pamoja na mabaraza yake unaotarajiwa kufanyika Septemba 14, mwaka huu.

Kutokana na hali hiyo, Chadema imedai kubaini uwepo wa mamluki hao ambao wengi wamejitokeza kuwania nafasi mbalimbali katika chama hicho huku wakikosa sifa stahili na hata kupanga mikakati ya kwenda...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yasikitishwa na vurugu Masasi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara kimeibuka na ushindi kwa kujinyakulia viti 945 sawa na asilimia 88 ya kura zote zilizopigwa katika uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji pamoja na vitongoji uliofanyika kote nchini jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vurugu za uchaguzi zaleta hasara Afghan.

Vurugu kutokana na uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata nchini Afghanistan umesababisha hasara ya dola bilioni 5

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vurugu hizi kwenye uchaguzi hapana

JUMAPILI iliyopita, kata 27 nchini zilifanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi zilizoachwa wazi na waliokuwa madiwani wake kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za vifo na kujiuzulu. Vyama mbalimbali vilishiriki uchaguzi huo,...

 

10 years ago

GPL

TWAWEZA WAONYA VURUGU UCHAGUZI MKUU!

Meneja wa Sauti za Wananchi wa Twaweza, Elvis Mushi (kulia) akitoa ufafanuzi katika mkutano huo. Kushoto ni Afisa Masoko wa Twaweza, Costantine Magavilla. Viongozi mbalimbali wa taasisi na wanahabari wakifuatilia semina hiyo. Viongozi wengine…

 

11 years ago

Michuzi

POLISI WAUNGANISHA NGUVU KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO

Polisi wa visiwa vya kifalme vya Solomon vilivyopo pasifiki ya kusini wameunganisha nguvu katika mapambano dhidi ya uhalifu mtandao na kuelezwa ya kwamba nguvu kubwa itasogezwa mashuleni ili kukuza uelewa wa maswala ya uhalifu mtandao (Awareness) na kusisitizwa hiyo ndio itakua shabaha yao ya awali. Haya yamebainishwa na Bradford Theonomi katika taarifa yake ya kingereza inayosomeka   "HAPA" .
Kupitia program ya mpango uliopewa jina la “Cyber safety pasifika” uliopangwa kuwasaidia watoto,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani