Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Chadema vurugu tupu

John Mnyika

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika

SHABANI MATUTU NA OLIVER OSWALD, DAR ES SALAAM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimebaini njama za kupandikiziwa mamluki wenye nia ya kuvuruga uchaguzi wa chama hicho pamoja na mabaraza yake unaotarajiwa kufanyika Septemba 14, mwaka huu.

Kutokana na hali hiyo, Chadema imedai kubaini uwepo wa mamluki hao ambao wengi wamejitokeza kuwania nafasi mbalimbali katika chama hicho huku wakikosa sifa stahili na hata kupanga mikakati ya kwenda...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kampeni Chalinze vurugu tupu

Msuguano umeibuka kati ya CCM na CUF kwenye kampeni za uchaguzi wa Jimbo la Chalinze ambako wafuasi wanatuhumiana kufanyiana fujo.

 

11 years ago

Mwananchi

Ziara ya Makalla vurugu tupu

Ziara ya Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla katika miradi ya maji jijini Dar es Salaam jana iliendelea kukumbwa na vurugu baada ya viongozi wa CCM na Chadema waliokuwa meza kuu kukunjana mashati wakitaka kupigana mbele ya wananchi wa Kata ya Goba, Kimara.

 

10 years ago

Dewji Blog

Bundi atua Chadema Singida, tafrani tupu

DSC01835

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Singida katika picha.

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKATI siku zikishika kasi kuelekea uchaguzi  mkuu mwakani,’Bundi’ ametua ndani ya CHADEMA mkoa wa Singida,na hali imechafuka kwa viongizi wake kuanza kuvuana uanachama na kufukuzana  uongozi.

Baraza la uongozi mkoa wa Singida, limemvua na kumfukuza uongozi Mwenyekiti wa jimbo la Singida mjini,J ohn Kalaye Kumalija kwa tuhuma ya kuwa na mgogoro wa muda mrefu na katibu wake.

Uamuzi huo umeaanza kutekelezwa kuanzia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Burundi 2020: Vurugu na mauaji yakumba kampeini za uchaguzi Burundi

Polisi nchini Burundi wamesema kuwa wamewakamata watu wapatao 64 kutoka chama kikuu cha siasa cha CNL, kumekuwa na ghasia pamoja na mauaji dhidi ya wanachama wa chama kikuu katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa rais tarehe 20 Mei.

 

9 years ago

Raia Mwema

Siri ya vurugu Chadema

“Mikataba, watu wanaingia mikataba, kwamba endapo atachaguliwa, udiwani au ubunge, atawapatia vit

Felix Mwakyembe

 

10 years ago

Habarileo

'Chadema acheni vurugu'

MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF) amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutobweteka kwa kupata majimbo mengi badala yake wakue kifikra kwa kuachana na vurugu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vurugu uchaguzi wa Thailand ukianza

Uchaguzi huu unafanyika baada ya miezi kadhaa ya maandamano ya wapinzani kujaribu kutatiza hali ili usifanyike.

 

11 years ago

Mwananchi

Tume ya uchaguzi yalaani vurugu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(Nec), imekemea vitendo vya vurugu na uvunjifu wa amani vinavyotokea katika Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Madiwani katika kata 27 zinazofikia tamati leo na kuviagiza vyombo vya dola kuwachukulia hatua bila kujali vyeo wala itikadi za wahusika.

 

10 years ago

Habarileo

Nane mbaroni kwa vurugu Chadema

SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi kudhibiti maandamano yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wafuasi watatu wa chama hicho wamefikishwa mahakamani jijini Dar es Salaam na wengine watano wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani