Ziara ya Makalla vurugu tupu
Ziara ya Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla katika miradi ya maji jijini Dar es Salaam jana iliendelea kukumbwa na vurugu baada ya viongozi wa CCM na Chadema waliokuwa meza kuu kukunjana mashati wakitaka kupigana mbele ya wananchi wa Kata ya Goba, Kimara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Uchaguzi Chadema vurugu tupu
![John Mnyika](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/John-Mnyika.jpg)
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika
SHABANI MATUTU NA OLIVER OSWALD, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimebaini njama za kupandikiziwa mamluki wenye nia ya kuvuruga uchaguzi wa chama hicho pamoja na mabaraza yake unaotarajiwa kufanyika Septemba 14, mwaka huu.
Kutokana na hali hiyo, Chadema imedai kubaini uwepo wa mamluki hao ambao wengi wamejitokeza kuwania nafasi mbalimbali katika chama hicho huku wakikosa sifa stahili na hata kupanga mikakati ya kwenda...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Kampeni Chalinze vurugu tupu
11 years ago
Habarileo16 Jul
Wanasiasa watibua ziara ya Makalla
ZIARA ya Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla kukagua miradi ya maji jijini Dar es Salaam, jana iliingia dosari, kutokana na vitendo vya baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Chadema, CCM wakunjana ziara ya Makalla
10 years ago
MichuziZiara ya Makalla jimboni kwake Mvomero
Katika ziara yake ya kichama amekagua kazi zinazotanywa na kikundi cha wakina mama wafinyanga vyungu, wakinamama wajasiriamali wauza kokoto na walima bustani.
Aidha amezindua Shina la ushindi ambalo wakinamama wafinyanga vyungu ndiyo wanachama wa Shina hilo, Katika kuunga Mkono...
11 years ago
MichuziMHE. MAKALLA AENDELEA NA ZIARA YAKE MOROGORO
Mhe. Makalla ameridhishwa na kiwango cha mradi wa maji wa mji wa Mvomero na mpango kazi wa mkandarasi anayetekeleza mradi huo.
“Nakubaliana na mpango kazi wenu na ninaamini kuwa mpaka mwezi wa tano, mtakuwa mmekamilisha mradi huu na kukabidhi kazi kwa Serikali na wananchi wa jiji la...
11 years ago
MichuziMH. MAKALLA AFANYA ZIARA JIMBONI KWAKE MVOMERO
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ,ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji,kuanzia Julai 3 hadi 7, mwaka huu, alifanya ziara ya kikazi iliyilenga kuhamasisha shughuli za maendeleo ya wananchi wake wa vijiji mbalimbali vya Tarafa ya Mlali, Turiani na Mvomero.
Katika ziara hiyo, ametoa misaada ya aina mbalimbali ya kifedha na vifaa kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ya huduma za kijamii ikiwa ni pamoja na kuzundua vituo vya kuchota maji Kijiji cha Mgogo, Kata ya...