Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nane mbaroni kwa vurugu Chadema

SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi kudhibiti maandamano yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wafuasi watatu wa chama hicho wamefikishwa mahakamani jijini Dar es Salaam na wengine watano wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

52 mbaroni kwa vurugu za kampeni

JESHI la Polisi nchini limewafikisha mahakamani watuhumiwa 52 kwa kujihusisha na makosa mbalimbali wakati wa kampeni, ikiwemo kuvamia mikutano ya vyama vingine vya siasa na kuanzisha vurugu.

Kukamatwa kwa watu hao ni kutokana na kuripotiwa kwa matukio 107 ya uvunjifu wa amani, ambapo tayari matukio 38 yameshafanyiwa upelelezi na kufunguliwa kesi huku matukio mengine 68 yakiendelea kufanyiwa upelelezi.

Akitoa tathimini ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi, Msemaji wa Jeshi hilo, Advera Bulimba...

 

11 years ago

Michuzi

NANE (8) MBARONI KWA MAKOSA MBALIMBALI YA UHALIFU MKOANI DODOMA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu nane kwa makosa mbalimbali ya uhalifu kufuatia msako uliofanyika tarehe 01/04/2014 maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME - SACP amesema tukio la kwanza alikamatwa SIMON S/O MTUNDU, miaka 51, Kabila Mhehe, mkulima na mkazi wa kijiji cha Kisisi Kata ya Kimagiyi Tarafa na Wilaya ya Mpwapwa, akimiliki silaha aina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanne mbaroni kwa kuichagua CHADEMA

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na uongozi wa Kijiji cha Nyamihundu Kata ya Nzihi kimewakamata vijana wanne kwa tuhuma za kukipigia kura Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni kwa tuhuma za kuilipua Chadema

>Hatimaye Polisi limewakata watu 12 likiwatuhumu kuhusika kuushambulia kwa bomu mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika kwenye Viwanja vya Soweto jijini hapa.

 

10 years ago

Mwananchi

18 mbaroni, wahusishwa na vurugu Ilula

Tukio lilitokea juzi mkoani Iringa ambako mtu mmoja alifariki wakati wananchi walipopambana na polisi na baadaye kufunga barabara kwa saa tano, limeingia katika orodha ndefu ya matukio yanayozidi kuongezeka kila kona ya mapambano baina ya raia na askari wa Jeshi la Polisi.

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU WAIBUKA KIDEDEA KWA WIZARA ZA SERIKALI NANE NANE, 2014

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu(Uhusiano na Uratibu) Mh. Stephen Wasira akimkabidhi Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Ofisi ya Waziri Mkuu , Bw. Issa Nchasi, kombe na cheti cha mshindi wa Pili katika kundi la Wizara za Serikali kwenye Sherehe za Sikukuu ya Wakulima Nane Nane, 2014 zilizofanyika kwenye Uwanja wa Nzuguni Dodoma. Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifurahi mara baada ya kukabidhiwa kombe la mshindi wa Pili katika kundi la Wizara za Serikali kwenye ...

 

11 years ago

Habarileo

Watatu mbaroni vurugu za mgomo wa daladala

POLISI mkoani Mbeya inashikilia watu tisa wanaosadikiwa kuwa wapiga debe wakituhumiwa kufanya vurugu wakati mgomo wa daladala ulipokuwa ukiendelea jijini hapa.

 

10 years ago

Michuzi

CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakutana Zanzibar Januari 13, kwa kikao cha kawaida cha siku moja chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete. 
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...

 

11 years ago

Habarileo

Watu 30 mbaroni vurugu kifo cha 'hausigeli'

WATU zaidi ya 30 wanashikiliwa na polisi wilayani Muleba katika Mkoa wa Kagera, wakituhumiwa kufanya vurugu na uharibifu wa mali, chanzo kikiwa kifo cha mfanyakazi wa ndani aliyefia mkoani Arusha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani