52 mbaroni kwa vurugu za kampeni
JESHI la Polisi nchini limewafikisha mahakamani watuhumiwa 52 kwa kujihusisha na makosa mbalimbali wakati wa kampeni, ikiwemo kuvamia mikutano ya vyama vingine vya siasa na kuanzisha vurugu.
Kukamatwa kwa watu hao ni kutokana na kuripotiwa kwa matukio 107 ya uvunjifu wa amani, ambapo tayari matukio 38 yameshafanyiwa upelelezi na kufunguliwa kesi huku matukio mengine 68 yakiendelea kufanyiwa upelelezi.
Akitoa tathimini ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi, Msemaji wa Jeshi hilo, Advera Bulimba...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Sep
Nane mbaroni kwa vurugu Chadema
SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi kudhibiti maandamano yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wafuasi watatu wa chama hicho wamefikishwa mahakamani jijini Dar es Salaam na wengine watano wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro.
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Lema mbaroni kwa kuzidisha dk 6 mkutano wa kampeni
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MGOMBEA ubunge wa Chadema, Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, jana amekamatwa na polisi akidaiwa kuzidisha muda katika mkutano wake wa kampeni na kufanya maandamano bila kibali.
Tukio hilo lilitokea baada ya mkutano huo wa kampeni katika viwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro ambapo Lema alihutubia hadi saa 12:06 badala ya saa 12:00, na aliposhuka jukwaani na kuanza kuondoka, wafuasi wake walianza kumfuata na kusukuma gari lake.
Baada ya hatua chache kutoka uwanjani...
10 years ago
Mwananchi26 Feb
18 mbaroni, wahusishwa na vurugu Ilula
11 years ago
Habarileo12 Jun
Watatu mbaroni vurugu za mgomo wa daladala
POLISI mkoani Mbeya inashikilia watu tisa wanaosadikiwa kuwa wapiga debe wakituhumiwa kufanya vurugu wakati mgomo wa daladala ulipokuwa ukiendelea jijini hapa.
11 years ago
Habarileo18 Jun
Watu 30 mbaroni vurugu kifo cha 'hausigeli'
WATU zaidi ya 30 wanashikiliwa na polisi wilayani Muleba katika Mkoa wa Kagera, wakituhumiwa kufanya vurugu na uharibifu wa mali, chanzo kikiwa kifo cha mfanyakazi wa ndani aliyefia mkoani Arusha.
11 years ago
CloudsFM12 Jun
WATU 10 WATIWA MBARONI NA POLISI KUFUATIA VURUGU ZILIZOTOKEA JIJINI MWANZA
Polisi jijini Mwanza imelazimika kutumia mabomu ya machozi kufuatia vurugu za baaadhi ya wafanyabiashara wadogo maaarufu kama machinga na watoto wa mitaani wakipinga kupinga zoezi la kuhamishwa eneo la Makoroboi walilokuwa wakifanyia biashara hapo awali.
Zoezi hili limesababisha wafayabiashara mbalimbali kufunga biashara zao na wengine kupoteza mizigo kutokana na vurugu hizo huku idadi kubwa ya wananchi wakishindwa kuendelea na shuguli zao
Nia aina ya vurugu zilizo tokea kwa takribani masaa...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Kampeni Chalinze vurugu tupu
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Pwani kudhibiti vurugu kampeni Chalinze
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, amesema mkoa wake umejipanga kudhibiti vurugu na fujo wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze unaotarajiwa kufanyika Aprili 6, mwaka...
9 years ago
Habarileo14 Sep
Tume yakemea vurugu, matusi kwenye kampeni
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imekemea vurugu na mauaji yaliyotokea wakati wa mikutano ya kampeni za vyama vya siasa inayoendelea katika sehemu mbalimbali nchini.