Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OFISI YA WAZIRI MKUU WAIBUKA KIDEDEA KWA WIZARA ZA SERIKALI NANE NANE, 2014

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu(Uhusiano na Uratibu) Mh. Stephen Wasira akimkabidhi Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Ofisi ya Waziri Mkuu , Bw. Issa Nchasi, kombe na cheti cha mshindi wa Pili katika kundi la Wizara za Serikali kwenye Sherehe za Sikukuu ya Wakulima Nane Nane, 2014 zilizofanyika kwenye Uwanja wa Nzuguni Dodoma. Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifurahi mara baada ya kukabidhiwa kombe la mshindi wa Pili katika kundi la Wizara za Serikali kwenye ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KWA WIZARA ZA HUDUMA ZA JAMII KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA - LINDI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akimpongeza Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali, Mbazi  Msuya kwa ofisi hiyo kuwa mshindi wa kwanza kwa Wizara za Huduma za Jamii zilizoshiriki maonesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi, Tarehe 8 Agosti , 2015. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifurahia  kombe la kuwa mshindi wa kwanza kwa Wizara za Huduma za Jamii zilizoshiriki maonesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi,...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAENDELEA NA URATIBU WA SHUGHULI ZA SERIKALI NDANI YA MAONESHO YA NANE NANE - LINDI

Mratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Edgar Senga akieleza uratibu wa shughuli za maafa kwa wananchi waliotembelea Banda hilo katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi, Tarehe 7 Agosti , 2015. Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wavulana ya Ndada wakipata maelezo juu ya sera baina ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi kutoka kwa Mchumi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Maendeleo ya Sekta Binafsi, Uwekezaji na Uwezeshaji , Vedastus Manumbu...

 

11 years ago

Michuzi

BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU LAVUTIA NANE NANE DODOMA

Baadhi ya Wananchi wa Mjini Dodoma wakipata maelezo ya Uwekezaji na Uwezeshaji kutoka kwa Mchumi Mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Vedasto Manumbu walipotembelelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea Mjini Dodoma, Viwanja vya Nzuguni. Mratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Mollay akifafanua uratibu wa shughuli za serikali kwa Wanafunzi Shule ya Msingi Nzuguni “B” walipotembelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu katika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGA MAONYESHO YA NANE NANE JIJINI MBEYA LEO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na wakulima na wananchi wa  mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakati akifunga maonesho ya sherehe za wakulima Nanenane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8 ,2015b .Picha Jamiimojablog.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza katika sherehe hizo za wakulima Nanenaneb Kanda ya Nyanda za juu kusini katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.wananchi na wakulima wa mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakimsikiliza...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF WAIBUKA WASHINDI KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti NHIF akipokea Kikombe cha Ushindi wa Kwanza kundi la Mifuko ya Jamii Toka kwa Rais Jakaya Kikwete,kushoto na Kulia kwa Rais wakishuhudia tukio hilo Ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Mwantumu Mahiza na Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Stephen Wassira katika Ufungaji wa Maonesho hayo katika Viwanja Vya Ngongo LindiMeneja wa Mfuko wa NHIF Mkoa wa Lindi,Fortunata Kullaya(Alieshika kikombe)Kwa Pomoja na Mkurugenzi wa Masoko ,Rehani Athumani (kulia) na Grace Kisinga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufungua Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi Agosti 3, mwaka huu

01

Lindi kumekucha, pilikapilika za maandalizi ya Maonyesho ya Nane Nane kitaifa mwaka huu zimepamba moto ambapo Mgeni Rasmi katika maonesho hayo yatakayofunguliwa Jumatatu Agosti 3, 2015 anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda. Maonyesho hayo ya mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.

02

03

04

Mratibu wa Maonyesho ya Nane Nane kutoka wilaya ya Newala Ado Kiwangu akiwaonesha na...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAIBUKA KIDEDEA MAONYESHO YA NANE NANE MWAKA HUU

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa NMB Bi Ineke Bussemaker kikombe cha mshindi wa pili kundi la taasisi za kibenki zilizoshiriki maonesho ya Nane nane Kitaifa 2015 katika viwanja vya Ngongo Lindi.

 Wafanyakazi wetu wakifurahia ushindi baada  ya kuibuka kidedea  katika kundi la taasisi za kibenki zilizoshiriki maonesho ya Nanenane Morogoro

 Wafanyakazi wa NMB  wakifurahia ushindi baada  ya kuibuka kidedea  katika kundi la taasisi za...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya maonesho.

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipiga picha ya pamojanaViongozi mbalimbali waserikali katika maonyesho ya Nanenane 2014, Lindi.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipokea zawadi baada ya kutembelea mabanda.Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya wadau.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani